mmakinitz
Senior Member
- Sep 16, 2020
- 192
- 368
Alikuwa RPC ArushaYule polis shana sijui nani yule aliyefariki si alijitangaza wazi kwamba ana support maccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa RPC ArushaYule polis shana sijui nani yule aliyefariki si alijitangaza wazi kwamba ana support maccm
Hilo hilo li ccmAlikuwa RPC Arusha
Sirro biashara ya kuuza binti zako umemaliza? Usitutishe
😂😂😂😂😂 BAVICHA MNAJUA KUJIFARIJII KHAAAA😂😂😂😂 yaniii ninecheka sana, Mnavyojitoa Ufahamuu kuwa HAKUNA RAIS ZAID YA MAGU EAST AFRICA. sasa Huyu kirusi Lissu anamweza wapi Magu.....,.TANO TENAHivi nauliza igp ameshajua nan rais kama sio anapata wapi nguvu ya kumtisha mgombea kutoka chama kikubwa cha upinzani
HahahahaSafi sana, fungia kufanya kampeni kabisa, kinukisheni sasa tuone.
Kura za polisi zote Lisu hapati
Wacheka mkuu ila Mambo sio rahis Sana so weka akiba ya kicheko😂😂😂😂😂 BAVICHA MNAJUA KUJIFARIJII KHAAAA😂😂😂😂 yaniii ninecheka sana, Mnavyojitoa Ufahamuu kuwa HAKUNA RAIS ZAID YA MAGU EAST AFRICA. sasa Huyu kirusi Lissu anamweza wapi Magu.....,.TANO TENA
Hivi nauliza igp ameshajua nan rais kama sio anapata wapi nguvu ya kumtisha mgombea kutoka chama kikubwa cha upinzani
Ukiw kwenye Jamii ya Watu wenye Akili za Zaidi Lazima Ukubali Kuwa Magu Kashashinda ila Hamu yetu nikujua anashinda kwa Asilimia Ngapi??Wacheka mkuu ila Mambo sio rahis Sana so weka akiba ya kicheko
Jiwe kila siku anawafokea na kuwakaripia polisi mbona amwambii akaripoti polisi. Aache kutisha wananchi, asiamshe hasira za watz.
Amesema hakuna mtu yeyote anayeweza kupambana na Jeshi hilo na kwamba wote wanaovunja sheria za nchi watashughulikiwa.
Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.
"Tundu Lissu hayupo juu ya sheria, tukiamua kutimiza majukumu yetu asilalamike,"IGP Simon Sirro
IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro, amri hiyo inatokana na IGP kuwatuhumu baadhi ya viongozi wa Chadema kutokana na matendo mbalimbali ambayo wanayofanya.
Akifafanua suala hili IGP Sirro amesema "Nimeona matukio kadhaa yakifanyika na Viongozi wa Chadema, wamekuwa wakikaripia na kuwagombeza Askari Polisi. Nimeona mara kadhaa Tundu Lissu anagombana na Viongozi wa Polisi".
"Jana nimeongea na Kiongozi wake Bwana Mbowe akae na viongozi wake wazungumze suala la kutii sheria bila shuruti. Anayoyafanya Watanzania wenye hekima na Wazalendo wanaona. Lissu hayuko juu ya sheria polisi tukiamua kutimiza wajibu wetu asilalamike na chama chake. Vyama vipo karibu kumi na mbili, Jeshi la Polisi limepewa wajibu wa kulinda watu na mali zao ndani ya nchi hii, yeye hana uwezo wowote wa kupambana na Jeshi la Polisi."
"Asije akafika mahali akawa na kiburi akadhani ana uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi. Niwasihi sana na niwaombe sana ndugu zetu wa Chama cha Chadema hii tabia iishe. Tundu Lissu aende akaripoti kituo cha Polisi Kilimanjaro ili aende akaeleze aliyoyafanya jana. Lakini niwaombe wanasiasa na Viongozi wote katika ngazi zote. Suala la Udiwani, Ubunge, Urais bila amani na utulivu huwezi kufanya siasa na huna uwezo wa kupambana na Jeshi la Polisi wewe kama wewe. Kwahiyo tuheshimu sheria zilizopo ili tuchague viongozi tunaowataka lakini inaonekana kuna ajenda ya siri ambayo viongozi wachache wanayoitaka ili uchaguzi usifanyike. Nawaambia uchaguzi utafanyika lakini itafika mahala tutawashughulikia sana."
View attachment 1587125
Haki haihitaji majadiliano kwamba itendeke vipi na nani na kwa nani.Nafikiri Lissu ashasema hayuko yeye kama yeye. Yuko yeye na Wanachama wake, Bob Amsterdam, UN, AU vitengo vya haki za binadamu, vyombo vya habari vya kimataifa, Umoja wa Ulaya n.k
Angekuwa yeye kama yeye wala Sirro asingefanya press angekuwa kashamalizana nae huko huko. Nasubiria maneno ya utangulizi ya Lissu. Nafikiri ataripoti kituo cha polisi cha mahali alipo kwasasa hawezi kurudi Moshi.
Badala ya kuongea na Mbowe tu nafikiri kiitishwe kikao cha viongozi wa siasa, dini, polisi, tume na Serikali watu wakubaliane kuhusu HAKI itakavyotendeka na ionekane imetendeka kabla ya siku ya kura otherwise kuna hatari mbele maana uchaguzi huu wapinzani ni Sauli na Daud. Saul kajaribu kumaliza gemu nje ya uwanja toka 2017 imeshindikana.
Tunamsubiria Mungu mwenye HAKI na mwamuzi wa HAKI ambaye kisasi ni juu yake tuone analipaje kisasi uchaguzi huu.
sio rahisi Kama tuzaniavyo ,Mambo ni magum mno,maridhiano ya vyama ni muhim kwa Sasa kuliko wakati wowote, nec ,vyombo vyote vya ulinzi na usalama ,kwamba mshindi atangazwe ,na alieshindwa asibugudhiwe achukuliwe Kama tunu ya taifa,ubabe kwa Sasa hauna nafasi ,taifa kwanza mengine badae,mkuuWeshapanga, Magufuli atashinda kwa 86% and their say is a final say.
Anawafokea kwa mujibu wa Sheria au takwa binafsi. Thus tunataka katiba mpya ili vyombo viwe huru vitii Sheria na sio kutii mtuMagufuli ni Big Bosi wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama, ni bosi wao, ...
Akasemaje?Hii kitu yao Kigogo aliitoa mapema sana.
Ni upupu wa TISS yetu dhaifuHii kitu yao Kigogo aliitoa mapema sana.
Acheni kutafuta maridhiano wakati Sisi tunawasubiri 28october tumlambishe mchanga kibaraka wa mabeberusio rahisi Kama tuzaniavyo ,Mambo ni magum mno,maridhiano ya vyama ni muhim kwa Sasa kuliko wakati wowote, nec ,vyombo vyote vya ulinzi na usalama ,kwamba mshindi atangazwe ,na alieshindwa asibugudhiwe achukuliwe Kama tunu ya taifa,ubabe kwa Sasa hauna nafasi ,taifa kwanza mengine badae,mkuu