Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Usijidanganye kuwa Gwajima ana hela.Kwa serikali za kiafrika unaweza lala Tajiri ukaamka masikini wa kutupwa.Usifikiri watu wanaiunga Mkono CCM kwa kupenda wengi wanalinda utajiri waoHata wakimfukuza CCM,Gwaji has nothing to lose!
Ana pesa na platform hata kabla ya huo ubunge na ataendelea kuongea anachokiamini tena ndiyo atakuwa maarufu zaidi.
Hongera kwa IGP kwa kuukataa huu upuuzi wa majukwaani,taasis zote huwa zinatoa majibu hayo hayo ya Sirro kuhusu matamko ya wanasiasa majukwaani.