Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Usijidanganye kuwa Gwajima ana hela.Kwa serikali za kiafrika unaweza lala Tajiri ukaamka masikini wa kutupwa.Usifikiri watu wanaiunga Mkono CCM kwa kupenda wengi wanalinda utajiri waoHata wakimfukuza CCM,Gwaji has nothing to lose!
Ana pesa na platform hata kabla ya huo ubunge na ataendelea kuongea anachokiamini tena ndiyo atakuwa maarufu zaidi.
Hongera kwa IGP kwa kuukataa huu upuuzi wa majukwaani,taasis zote huwa zinatoa majibu hayo hayo ya Sirro kuhusu matamko ya wanasiasa majukwaani.
Hata wakimfukuza CCM,Gwaji has nothing to lose!
Ana platform yake hata kabla ya huo ubunge na ataendelea kuongea anachokiamini tena ndiyo atakuwa maarufu zaidi.
Hongera kwa IGP kwa kuukataa huu upuuzi wa majukwaani,taasis zote huwa zinatoa majibu hayo hayo ya Sirro kuhusu matamko ya wanasiasa majukwaani.
Watu kibao wamekamatwa kwa amri za majukwaani Bila maandishi yeyote halafu leo analeta ngonjeraIGP angekuwa sawa kama kusingekuwa na watu wamesukumwa ndani na kina Mwanri, Majaliwa, Jaffo, Ummy, Katambi, Awesu, Makonda, na mawaziri, ma RC, ma DC nk.
Kwa hili Sirro kaonesha u ndumila kuwili wa wazi.
Kaanza itabidi aseme chanjo haina shida yeyote anaomba radhi kwa yote aliyosema.then abaki na msimamo wake wa kutochanjaNamshauri Askofu Gwajima awaombe msamaha hadharani kwakuwasingizia Mh. Rais na serikali yake pasipokiwa na uthibitisho lakini abakie na msimamo wake wa chanjo...Hapo serikali na yeye watapata approval ya raia wa kawaida na kuleta umoja wa kitaifa.
Du! Ila angekuwa Mbowe kanisa lake lingefutwa kabisa na waumini wake kuitwa magaidi? Nchi hii ya laana inachekesha sana aisee!!Sirro anasema hawezi kumkamata Gwajima kwamba yeye hayo anayasikia mitandaoni tu. Kwamba yeye hadi apate makaratasi rasmi na ajiridhishe kama kuna jinai imetendeka.
Uhuni wenu na udalali wenu mpelekeeni mbowe mahabusuKaanza itabidi aseme chanjo haina shida yeyote anaomba radhi kwa yote aliyosema.then abaki na msimamo wake wa kutochanja
Yeye ataona anachopaswa kukifanya...Mimi nisingeomba kama kweli ni mchungaji...Wapendwa kuwa deceive raia ni kosa moja baya sana, kesho tutawahitaji watu kama akina Gwajima kuwapa assurance waumini, kama trust yao itavunjika kwa waumini unadhani serikali haitapata shida kwenye social capital? Tusiangalie leo tu...We have to learn to be trustworthy mbele ya public.Kaanza itabidi aseme chanjo haina shida yeyote anaomba radhi kwa yote aliyosema.then abaki na msimamo wake wa kutochanja
Yeye ataona anachopaswa kukifanya...Mimi nisingeomba kama kweli ni mchungaji...Wapendwa kuwa deceive raia ni kosa moja baya sana, kesho tutawahitaji watu kama akina Gwajima kuwapa assurance waumini, kama trust yao itavunjika kwa waumini unadhani serikali haitapata shida kwenye social capital? Tusiangalie leo tu...We have to learn to be trustworthy mbele ya public.
Askofu baunsa angekua chadema wangeshamweka ndani Kwa kumtuhumu rais kuhongwaAskofu ana kosa kutoa tuhuma hadharani ambayo ingefaa angeithibitisha...Tusitete uovu...Kwenye chanjo hana kosa kwakua ni opinion yake na kama wale wanaoi promote wanaruhusiwa wenye doubts kwanini wasipewe haki ya kuuliza?
I said it clear ana makosa kwenye kutuhumu lakini siyo chanjo...Msitafute uchonganyishi...Hao wengine cases zao ni specific kila mtu apewe haki yake do not generalize issues...Na msitumie cover to hide your ulterior motives...We have common senses and very rational being to see the differences of what is right or wrongWamekamatwa watu makanisani to the dismay ya Askofu RC Jimbo la Mwanza.
Hizi trustworthy ni kwa Gwajima tu?
Vipi askofu Mwamakula?
Which precedence is anyone trying to portray?
Waliopo CCM kulinda maslahi yao hawajawahi kutofautiana na chama chao kwa lolote.Usijidanganye kuwa Gwajima ana hela.Kwa serikali za kiafrika unaweza lala Tajiri ukaamka masikini wa kutupwa.Usifikiri watu wanaiunga Mkono CCM kwa kupenda wengi wanalinda utajiri wao
I said it clear ana makosa kwenye kutuhumu lakini siyo chanjo...Msitafute uchonganyishi...Hao wengine cases zao ni specific kila mtu apewe haki yake do not generalize issues...Na msitumie cover to hide your ulterior motives...We have common senses and very rational being to see the differences of what is right or wrong
Ww utakuwa mmojawapo wa misukule ya gwajiboy pale kanisani kwake kawe[emoji54],sababu sio kwa povu hiliHata wakimfukuza CCM,Gwaji has nothing to lose!
Ana pesa na platform hata kabla ya huo ubunge na ataendelea kuongea anachokiamini tena ndiyo atakuwa maarufu zaidi.
Hongera kwa IGP kwa kuukataa huu upuuzi wa majukwaani,taasis zote huwa zinatoa majibu hayo hayo ya Sirro kuhusu matamko ya wanasiasa majukwaani.
That's none of your fvckng business.Ww utakuwa mmojawapo wa misukule ya gwajiboy pale kanisani kwake kawe[emoji54],sababu sio kwa povu hili
Askofu baunsa angekua chadema wangeshamweka ndani Kwa kumtuhumu rais kuhongwa
Usijidanganye kuwa Gwajima ana hela.Kwa serikali za kiafrika unaweza lala Tajiri ukaamka masikini wa kutupwa.Usifikiri watu wanaiunga Mkono CCM kwa kupenda wengi wanalinda utajiri wao