johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Force applied should be propionate to the situation , any excessive use of force is a criminal offence.Mkuu wa Jeshi la Polisi Kamanda Sirro amesema Jeshi linajua kuna viongozi wa serikali na Wanasiasa wanawachochea Wamasai wa Loliondo wagomee zoezi la uwekaji...
watajuana wenyewe kwa wenyewe bwanaMkuu wa Jeshi la Polisi Kamanda Sirro amesema Jeshi linajua kuna viongozi wa serikali na Wanasiasa wanawachochea Wamasai wa Loliondo wagomee zoezi la uwekaji wa mipaka.
Sirro amewatahadharisha viongozi hao kwamba Sheria itafuata mkondo dhidi yao kwani hakuna mtu aliye Juu ya Sheria
Source BBC Dira ya Dunia
Mkuu wa Jeshi la Polisi Kamanda Sirro amesema Jeshi linajua kuna viongozi wa serikali na Wanasiasa wanawachochea Wamasai wa Loliondo wagomee zoezi la uwekaji wa mipaka....
Hvi Siro una ondoka lini ofisini? Hstuja wahi kuwa IGP wa ajabu kama wewe.Mkuu wa Jeshi la Polisi Kamanda Sirro amesema Jeshi linajua kuna viongozi wa serikali na Wanasiasa wanawachochea Wamasai wa Loliondo wagomee zoezi la uwekaji wa mipaka.
Sirro amewatahadharisha viongozi hao kwamba Sheria itafuata mkondo dhidi yao kwani hakuna mtu aliye Juu ya Sheria
Source BBC Dira ya Dunia
nenda polisi kamtukane askari yeyote rudi utuambie kama IGP yupo au hayupo
Acha uzuzu na woga wa kitotonenda polisi kamtukane askari yeyote rudi utuambie kama IGP yupo au hayupo
Huyu mzee ni mjinga snMkuu wa Jeshi la Polisi Kamanda Sirro amesema Jeshi linajua kuna viongozi wa serikali na Wanasiasa wanawachochea Wamasai wa Loliondo wagomee zoezi la uwekaji wa mipaka.
Sirro amewatahadharisha viongozi hao kwamba Sheria itafuata mkondo dhidi yao kwani hakuna mtu aliye Juu ya Sheria
Source BBC Dira ya Dunia
NI kopo fulani hivi
hatukutakiwa kuwa na hizo vizuizi wala polisi, ikiwezekana polisi ivunjwe kusiwe na polisi tuishi kwa amani na furaha. kila mtu afurahie uhuru, afanye atakavyo... mwenye kubeba panga kama masai, mwenye kubeba gobole kama taleban etc...IGP na wewe elewa upo chini ya sheria, kama kuna kiongozi au politicians wametenda kosa, huna uwezo wa kuwashughulikia,ni courts of law pekee zenye uwezo wa kuamua, igp kusanya ushahidi, fungua kesi mahakamani sio kila kukisha unatoa kauli za vitisho..ohoooo kabla hujastaafu pls tembelea Zambia 🇿🇲, tumia tu usafiri wa gari na ona women's and men's in uniform wanavyotekeleza majukumu yao ,yaani ni furaha tupu....,hapa kwetu Dar to Moro ni 200km,ila utakumbana na road blocks zaidi ya 30 why, tulitakiwa tuwe na check point 1 au 2 tu,rushwa rushwa rushwa tupu
tekeleza nilichokushauri kisha rudi stupe mrejeshoAcha uzuzu na woga wa kitoto
Tundu LissuKwa hiyo kati ya Spika Tulia, PM Majaliwa na RC wa Arusha, yupi hasa ni mchochezi?