IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

Mkuu wa Jeshi la Polisi Kamanda Sirro amesema Jeshi linajua kuna viongozi wa serikali na Wanasiasa wanawachochea Wamasai wa Loliondo wagomee zoezi la uwekaji wa mipaka.

Sirro amewatahadharisha viongozi hao kwamba Sheria itafuata mkondo dhidi yao kwani hakuna mtu aliye Juu ya Sheria

Source BBC Dira ya Dunia
 
watajuana wenyewe kwa wenyewe bwana
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Kamanda Sirro amesema Jeshi linajua kuna viongozi wa serikali na Wanasiasa wanawachochea Wamasai wa Loliondo wagomee zoezi la uwekaji wa mipaka....

Angeanza na Hangaya na Katelefoni kwa kula njama za kutenda kosa la unyang’anyi wa ardhi ya Wamaasai kwa kutumia silaha, tungemuona yuko fit kwelikweli.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Kamanda Sirro amesema Jeshi linajua kuna viongozi wa serikali na Wanasiasa wanawachochea Wamasai wa Loliondo wagomee zoezi la uwekaji wa mipaka.

Sirro amewatahadharisha viongozi hao kwamba Sheria itafuata mkondo dhidi yao kwani hakuna mtu aliye Juu ya Sheria

Source BBC Dira ya Dunia
Hvi Siro una ondoka lini ofisini? Hstuja wahi kuwa IGP wa ajabu kama wewe.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Kamanda Sirro amesema Jeshi linajua kuna viongozi wa serikali na Wanasiasa wanawachochea Wamasai wa Loliondo wagomee zoezi la uwekaji wa mipaka.

Sirro amewatahadharisha viongozi hao kwamba Sheria itafuata mkondo dhidi yao kwani hakuna mtu aliye Juu ya Sheria

Source BBC Dira ya Dunia
Huyu mzee ni mjinga sn
 
IGP na wewe elewa upo chini ya sheria, kama kuna kiongozi au politicians wametenda kosa, huna uwezo wa kuwashughulikia,ni courts of law pekee zenye uwezo wa kuamua, igp kusanya ushahidi, fungua kesi mahakamani sio kila kukisha unatoa kauli za vitisho..ohoooo kabla hujastaafu pls tembelea Zambia 🇿🇲, tumia tu usafiri wa gari na ona women's and men's in uniform wanavyotekeleza majukumu yao ,yaani ni furaha tupu....,hapa kwetu Dar to Moro ni 200km,ila utakumbana na road blocks zaidi ya 30 why, tulitakiwa tuwe na check point 1 au 2 tu,rushwa rushwa rushwa tupu
 
hatukutakiwa kuwa na hizo vizuizi wala polisi, ikiwezekana polisi ivunjwe kusiwe na polisi tuishi kwa amani na furaha. kila mtu afurahie uhuru, afanye atakavyo... mwenye kubeba panga kama masai, mwenye kubeba gobole kama taleban etc...

polisi wa nini? wakazi gani miaka hii? uhuru una maana gani kama tuna polisi, tuna jeshi, tuna magereza, tuna usalama wa taifa...
 
nami nashauri wale wote ambao wanachochea chini kwa chini wabanwe mbavu nyembamba
 
Back
Top Bottom