johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020.
Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga sawasawa kukabiliana na sintofahamu yoyote endapo itajitokeza.
IGP Sirro ameyasema hayo jijini Mwanza wakati anakagua nyumba mpya za askari.
Source ITV habari
Kwanini kila siku kuna maonyo? Hivi inawezekana watz hawajawa na ustaarabu kiasi cha kutozingatia mambo ya msingi

Wewe unajua uchaguzi?!Wacha nicheke tu!!!Eti kuna uchaguzi!!!
Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020.
Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga sawasawa kukabiliana na sintofahamu yoyote endapo itajitokeza.
IGP Sirro ameyasema hayo jijini Mwanza wakati anakagua nyumba mpya za askari.
Source ITV habari
Kwanini kila siku kuna maonyo? Hivi inawezekana watz hawajawa na ustaarabu kiasi cha kutozingatia mambo ya msingi
Uchaguzi wafanye wao alafu wauvuruge?Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020.
Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga sawasawa kukabiliana na sintofahamu yoyote endapo itajitokeza.
IGP Sirro ameyasema hayo jijini Mwanza wakati anakagua nyumba mpya za askari.
Source ITV habari
Huyu boya yupo? kuna siku huwa anjitutumuaInspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020.
Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga sawasawa kukabiliana na sintofahamu yoyote endapo itajitokeza.
IGP Sirro ameyasema hayo jijini Mwanza wakati anakagua nyumba mpya za askari.
Source ITV habari
Polisi na Wananchi kila mmoja atimize wajubu wake ili uchaguzi uwe huru na wa haki.
Hata wabunge wa upinzani walichaguliwa kwenye uchaguzi usio huru na wa haki?!Hilo la uchaguzi huru na haki limeshindikana hapa nchini. Namna pekee ni kutumia plan b maana box la kura halitoi tena viongozi wenye uhalali wa umma.