Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Hata wabunge wa upinzani walichaguliwa kwenye uchaguzi usio huru na wa haki?!
Usitake kuchanganya kwa kujifanya huelewi, hapa uchaguzi wenye ukatili na hujuma za wazi ni kipindi hiki cha Magufuli, na ndio maana watu wamepuuza huo uchaguzi. Nitajie kiongozi yoyote wa upinzani ameshinda baada ya Magufuli kuingia madarakani, na hizo chaguzi zote tumeona ni jinsi gani vyombo vya dola vilihusika kuratibu uchafu wote ili mgombea wa chama cha rais atangazwe mshindi. Huyo Sirro asijifanye eti atakayeharibu uchaguzi, yeye ndio sababu pia ya watu kususia huo uchaguzi.