IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Amani ipi imevunjwa? Wapi kumevinjwa Amani? Uhuni ni kuzua mchakato wa katiba mpya na kuwabambikia kesi wapinzani
 
Hizo propaganda za kijinga jinga bakieni nazo huko ghetto mnaposhinda mkivuta Bangi,lakini watanzania wenye Akili timamu wanajua mbowe kabambikiwa kesi za ugaidi kwa uonevu baada ya kuongoza kilio cha kudai katiba mpya, sasa kudai katiba mpya ni ugaidi
 
Hizo propaganda za CCM na Polisiccm wamezishitukia wenye Akili timamu wanajua fika kuwa kudai katiba mpya ndiyo chanzo cha huo uonevu unyanyasaji kuwabambikia kesi wapinzani
 
Ila mjue Kuna siku Watanzania watachoka na upuuzi wenu
Tatizo mtu akiwa kwenye mamlaka anafikiri yeye ndie mwenye akili kuliko watu wote
Narudia tena Kuna siku Watanzania watachoka
 
Ila mjue Kuna siku Watanzania watachoka na upuuzi wenu
Tatizo mtu akiwa kwenye mamlaka anafikiri yeye ndie mwenye akili kuliko watu wote
Narudia tena Kuna siku Watanzania watachoka
Labda kizazi cha waoga na wanafki kife. ila hiki kinacholalamika mitandaoni halaf hawafanyi kitu hamna litalotokea
 
Wakuu mbona kisutu tupo watu 30 tu si tulikubaliana mandamano yatakua ya watu 300k+ kweli usaliti upo mi nmetoka nduki naelekea home
 
Wakuu mbona kisutu tupo watu 30 tu si tulikubaliana mandamano yatakua ya watu 300k+ kweli usaliti upo mi nmetoka nduki naelekea home
Hao 30 ndio wamewatisha Polisi mpaka kuamua kesi iwe kwa mtandao?
 
Hao 30 ndio wamewatisha Polisi mpaka kuamua kesi iwe kwa mtandao?
Watu wako wachache sana kimtazamo tu hatuwezi kuwa tishio la kuzuia mbowe asije hapa labda tu n mipango yao
Leo nimeamin wa Tz wa kwenye mtandao na wa Tz wa mtaani ni watu tofauti kabisa
 
Watu wako wachache sana kimtazamo tu hatuwezi kuwa tishio la kuzuia mbowe asije hapa labda tu n mipango yao
Leo nimeamin wa Tz wa kwenye mtandao na wa Tz wa mtaani ni watu tofauti kabisa
Day 1 waliwadanganya ndugu kuwaBowe amepelekwa hospitali,kumbe wamempeleka mahakamani kwa siri!
Leo tena wameingia mitini kwa kusema mtandao umegoma wakati ilitarajiwa Mbowe kufikishwa mahakamani!
Hizi drama zote zinaonesha jambo!
 
Sirro ufahamu kuwa sisi kama watu wenye akili zetu:

1. Tunajua kuwa mwenyekiti Mbowe mmembambikizia kesi
2. Tuko kwenye nafasi za kujua mnambambikizia kesi...
wanajua wabongo mnaishia kwenye keyboard....hapo ulipo umeshashiba na una uhakika wa vihela vya kula na watoto wako,unawachuza wenye njaa...sasa wajaribu kwenda front waone maajabu
 
wanajua wabongo mnaishia kwenye keyboard....hapo ulipo umeshashiba na una uhakika wa vihela vya kula na watoto wako,unawachuza wenye njaa...sasa wajaribu kwenda front waone maajabu

Opportunist kazini. Subirini kula that's where you perform at your best.

Kwani mna nini? Uzuri wake ni kuwa wala hatuwahitaji kwa lolote yaani.
 
Nchi hii ndani ya miaka 20 kuanzia sasa itakuwa sawa na somalia tu. Ni suala la muda tu.
Aaagh wapi...we unawajua wasomali?...mtoto msomali tangu anazaliwa anazoeshwa harufu za maiti na damu za binadamu mpaka anazeeka, ile kitu imejengwa miaka mingi kwenye akili na damu zao.

wale hawana muda hata wa kwenda GYM kwa ajili ya kutafuta six packs na vifua kama nyie wabongo ..hakuna baunsa wa kisomali kule! ni mindsets zao tu!

sasa wewe hapo ulipo ukiona mtu mmoja au wawili wamechapwa risasi mkiwa kwenye movements sijui za kudai nini sijui...kuna mtu atabaki?
 
Kama kuwa mwanasiasa ingekuwa immunity ya kutoshitakiwa ukifanya maovu basi wanasiasa kama Mbowe wasingekwenda lupango.

Tukae chini na kukubali kuwa kutenda makosa ya jinai ni suala pana ndio maana kuna watu wanarithi uhalifu. Pia uhalifu upo wa aina nyingi. Sio vyema kudhania kuwa mwanasiasa hawezi kufanya uhalifu.

Tunatakiwa tuwe na sheria kama za South Africa hapo ndio ukweli utajulikana. Maana kila wanasiasa watenda maovu watapanda kizimbani.

Hivyo tunawakosea watanzania tunapotaka kuaminisha umma kuwa Mjowe hawezi kuwa mhalifu kisa tu ni kiongozi wa upinzani.
 
Magufuli alimuacha Mbowe Na ugaidi wake,mama ndiyo kajua namna ya kudili na gaidi,sindiyo mkuu?
 
Sasa kuandika tu mkuu kwa usahihi kwako ni shida,Kujenga hoja zenye kichwa na masikio unafikiri utaweza kweli??
 
Kama kuwa mwanasiasa ingekuwa immunity ya kutoshitakiwa ukifanya maovu basi wanasiasa kama Mbowe wasingekwenda lupango.
.
Bibi wa kupakuliwa bila kilainishi,lumumba mmejaa malaya,majambazi,mafisadi
 
Mbowe sio gaidi..
Kudai katiba mpya ndiko kulikomsababishia yote haya.

Msiwafanye watanzania wajinga

Kama hujui, hili la Mbowe sio lake peke yake na chadema. Bali mmetukosea watanzania wote. Mmepewa madaraka mtuletee maendeleo badala yake mnatuletea mazingaombwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…