IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Huyo mzee ameshapoteza moral authority ya kusimamisha taasisi nyeti kama polisi sababu amekosa busara sana siku hizi anaropoka kama vile ni Mwenyekiti wa saccos ya makuli.
 
Huyo mzee ameshapoteza moral authority ya kusimamisha taasisi nyeti kama polisi sababu amekosa busara sana siku hizi anaropoka kama vile ni Mwenyekiti wa saccos ya makuli.

Kwa wizi wa kura awamu ile hawakutegemea watu kukaa kimya. Wakadhani Chadema ata react violently.

Chadema si ya wajinga. Violence si hulka yao.

Utayari wetu kuyajaza magereza yao hata kama ni kinyume cha PGO kutawatoa kamasi za kutosha tu.
 
Mitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,

________________________________

Wawekezaji toka Bulgaria matokeo ya Royal Tour kuwekeza US$ 72M karibu sawa na Tsha 158.4BL kwa kujenga Hotel nne kubwa za nyota tano ( Five Stars Hotel ) katika mbunga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara & Tarangire,

Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi kifupi cha miezi sita umeonesha matokea makubwa katika kila kona ya nchi, madhalani uwekezaji tayari umekua kwa 400% toka uwekezaji wa US$ 510M hadi US$ 2.98BL sawa na Tshs 7trilioni pesa ambayo itamfikila kila Mtanzania popote alipo katika njia moja au nyingine,

#Mliokuwa mnalalamikia gharama ya Royal Tour mnasemaje kuhusu hizi bilioni 158.4 za fasta !??


.........Kazi iendelee.........



C&P
 
Kasome PGO Boss
 
Hatari sana
 
Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi,
wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala.
Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa.
Na neno hilo likaenea kati ya Wayahudi hata leo.
(Mathayo 28:12, 13,15)

Mpaka leo hii laana inatembea na polisi.[emoji115]
 
1. Kwa nafasi aliyonayo Mbowe na anavyoonekana kwa watu anaweza kufanya hayo anayotuhumiwa kuyafanya?

2. Kama laki sita (600, 000) zinaonekana hazitoshi kufadhili ugaidi je kiasi hicho kinaweza kuwa malipo ya mshahara wa makomandoo watatu walioajiriwa kama VIP PROTECTION ya mtu muhimu kama Mbowe?

3. Kama mtu amekaa kwenye kiti anawezaje kuchomwa bisibisi matakoni?
 
Duh Kuna member wanachosha jf
Dah Kuna member hamkutakiwa kuwa waanzisha nyuzi humu mnaleta makwazo tu.
Swali la 3 hapo ndio umeandika Nini?
 
Laki 6 inaweza kuwa malipo halali Kwa kufanya ulinzi Kwa mtu yeyote. lakini nimejiuliza kama hawa walienda kwaajili ya kazi hii.

Je ilikuaje yule alieenda kutoa taarifa Police hakujua kwamba hawa hawana ajira na wanatafuta ajira?!!

Hii vip protection ipo kisheria?...
 
Kama Kazi (vip protection) ipo kisheria na hawa wamefutwa Kazi jeshini!!..Ni wazi informer aliwauza police!!....
 
samahani muanzisha uzi,una kiwango gani cha Elimu??darasa la Saba,Form Four,Form Six,Chuo(Certificate,Diploma, Degree,Masters au PhD???
Kuna mambo hayahitaji Masters kung’amua, sidhani kama ukitaka kwenda kusikiliza kesi mahakamani utaulizwa hayo maswali yako uliyoyatoa. Logic haifichiki kwa mtu yeyote mwenye common sense.
 
Hilo la mwisho naona umeyumba mkuu maana shahidi anasema alikuwa achomwa bisibisi matakoni na wakayi mingine mikononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…