Kuna watu wengine wanafurahia mateso ya wanadamu wenzao kisa itikadi za kisiasa.Kuna mambo hayahitaji Masters kung’amua, sidhani kama ukitaka kwenda kusikiliza kesi mahakamani utaulizwa hayo maswali yako uliyoyatoa. Logic haifichiki kwa mtu yeyote mwenye common sense.
Upo sahihiKama Kazi (vip protection) ipo kisheria na hawa wamefutwa Kazi jeshini!!..Ni wazi informer aliwauza police!!....
Akili zako kuna mahali zinavujaSimple tu, ni kama kuambiwa mwanamke kapata ujauzito na huku hajawahi shiriki tendo.
Yaani uwe umekaa kitako then ujikute makalio yanatoa damu, alikalia bisibisi nini!
Bila shaka wewe una akili ndogo sana???? Uwezo wako wa kudadisi ni wa standard 2. We hujawahi hata kukamatwa na mgambo una binafsi vitako hapo????1. Kwa nafasi aliyonayo Mbowe na anavyoonekana kwa watu anaweza kufanya hayo anayotuhumiwa kuyafanya?
2. Kama laki sita (600, 000) zinaonekana hazitoshi kufadhili ugaidi je kiasi hicho kinaweza kuwa malipo ya mshahara wa makomandoo watatu walioajiriwa kama VIP PROTECTION ya mtu muhimu kama Mbowe?
3. Kama mtu amekaa kwenye kiti anawezaje kuchomwa bisibisi matakoni?
Ukikikaa kwani matako yote yanajificha?1. Kwa nafasi aliyonayo Mbowe na anavyoonekana kwa watu anaweza kufanya hayo anayotuhumiwa kuyafanya?
2. Kama laki sita (600, 000) zinaonekana hazitoshi kufadhili ugaidi je kiasi hicho kinaweza kuwa malipo ya mshahara wa makomandoo watatu walioajiriwa kama VIP PROTECTION ya mtu muhimu kama Mbowe?
3. Kama mtu amekaa kwenye kiti anawezaje kuchomwa bisibisi matakoni?
Mkuu inaelekea watu wengi hamjui matako na yako wapi kwenye mwiliHilo la mwisho naona umeyumba mkuu maana shahidi anasema alikuwa achomwa bisibisi matakoni na wakayi mingine mikononi.
Ukikikaa kwani matako yote yanajificha?
Nani kakwambia ile laki sita ni mishahara na siyo mathalan fedha ya lunch?
Kwa muonekano wa Mbowe unadhani ni mtu anayefikiria kutumia watu watatu kufanya nchi isitawalike?
Kesi ya kipumbavu nawe unafahamu hivyo😎
Usisahau watu waliokuwa wakitoa dhihaka kwa familia ya Magu baada ya kufiwa na mpendwa wao, May I assure you that things will never be the same again.Kuna watu wengine wanafurahia mateso ya wanadamu wenzao kisa itikadi za kisiasa.
ndiyo maana jamaa kakaa kimyaJohn amrema Mkurugenzi wa Mawasiliano Chadema alisema wakati alipo kamatwa na Jeshi la Polisi, alisema hivi;
" Mwenyekiti ni binaadamu kama walivyo wengine, hatuwezi kujua mambo yake yote ya siri,.........huenda alikuwa ni vitu alituficha sisi hatukuvifahamu..........."
Uhalifu ni mkakati wa Siri, tuache mahakama ifanye kazi yake.
Rudi chekecheaUmeandika nini sasa?
HovyoRudi chekechea
Mimi sitaki MBOWE afungwe, nataka ahukumiwe kunyongwa, au kifo Cha kupigwa na bakora Hadi umauti umkute. Kumfunga GAIDI ni kumpendelea.Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Mimi binafsi naamini katika haki na haki huwa haipindishwi.
Freeman Mbowe alikuwa na kaka yake ambae alikuwa kanali wa Jwtz. Alipofariki serikali nzima ilienda kumhani. Hii sio justification kuwa hana hatia.
Lakini kwa namna familia yao ilivyo na influence ya kisiasa hapa Tanzania ni wazi kuwa walikuwa wanafuatiliwa kwa kila nyendo zao. Kupatikana na tuhuma za ugaidi baada ya vuguvugu za katiba mpya kupamba moto inatia shaka.
Kesi yake juu ugaidi inaonyesha kuwa kuna mvua zinakuja.
Mvua za mahakama za Tanzania huwa hazitabiriki. Uwe na kosa au hauna kosa zinakunyeshea.
Swali, je mtakenua meno na kufurahi kama mlivyofurahia juu ya Sabaya?
My take: Sabaya alimdhibiti Mbowe Hai mkajenga chuki mbaya sana.
Haki humuinua Mungu Bujibuji Simba Nyanaume
Huyu @Shoga hana akili kabisaMatusi ya nini mkuu,
Pinga hoja kwa hoja