Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kuna watu wengine wanafurahia mateso ya wanadamu wenzao kisa itikadi za kisiasa.Kuna mambo hayahitaji Masters kung’amua, sidhani kama ukitaka kwenda kusikiliza kesi mahakamani utaulizwa hayo maswali yako uliyoyatoa. Logic haifichiki kwa mtu yeyote mwenye common sense.