Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Nitafute pesa usiku nimekuwa jambazi ..haya masaa ya mchana na jioniSaa 10 usiku unateseka na Freeman!
Tafuta pesa kijana, achana na mambo mengine yasiyo na tija kwako.
Na wewe saa 10 usiku unaamka kutetea mtu anayetuhumiwa kwa ugaidi? Ungemalizia usingizi kwanza ukasubiri kukakucha.Saa 10 usiku unateseka na Freeman!
Tafuta pesa kijana, achana na mambo mengine yasiyo na tija kwako.
Ukiamka usome hiki ulichotupostia ukiwa usingiziniHapo vip!!
Binafsi tokea mwanzo niliamini jamuhuri wapo sahihi na ni wakweli dhidi ya Mbowe,na hii inadhihirishwa katika maeneo haya.
Kwanza upeleleze wa Kingai sio wa mchezo mchezo ni mtaalam mwenye udhoefu wa muda mrefu katika maswala ya upelelezi na hii kesi ya Mbowe upelelezi wake ni umeanza muda mrefu sana sio juzi tokea mwa 2020.
Pili, ushahidi ya wakina Mahita ni ushahidi mzito sana...ni watu ambao ni mapapa wa system kwa muda..na serikali imewaanda hawa watu kwa pesa nyingi sana na kwa muda mrefu ili waweze kuisaidia taifa.
Tatu,Tanzani ni nchi bora sana Duniani kwa upelelezi na wapelelezi ni hawa waliompeleleza Mbowe..hivyo upelelezi wao ni wakitaalamu kama majibu ya Dactari
Nne,hukumu ndogo dhidi ya kesi ya mbowe ni ushahidi tosha ya kwamba upelelezi ni wakitaalam na u.efuata sheria.
Tano..gaidi sio mpaka mtu alipue bomu au ateke watu ndio anakuwa guidi...juzi uingereza jamaa mmoja alikuwa na mikakati ya kumteka mbunge tu basi akatuhumiwa kama gaidi.
Nimalize kwa kusema acheni ushabiki wa itikadi kwenye hili..wakina Kingai na wengine hawana interest yeyote dhidi ya kesi ya mbowe bali wanamshughulikia kama muhalifu yeyote mwenye makosa.
May be huko alipo ni saa 4 asubuhi, or saa 2 jioni! Usikariri kwamba kila mtu anayeposti hapa yupo TZSaa 10 usiku unateseka na Freeman!
Tafuta pesa kijana, achana na mambo mengine yasiyo na tija kwako.
Hapo vip!!
Binafsi tokea mwanzo niliamini jamuhuri wapo sahihi na ni wakweli dhidi ya Mbowe,na hii inadhihirishwa katika maeneo haya.
Kwanza upeleleze wa Kingai sio wa mchezo mchezo ni mtaalam mwenye udhoefu wa muda mrefu katika maswala ya upelelezi na hii kesi ya Mbowe upelelezi wake ni umeanza muda mrefu sana sio juzi tokea mwa 2020.
Pili, ushahidi ya wakina Mahita ni ushahidi mzito sana...ni watu ambao ni mapapa wa system kwa muda..na serikali imewaanda hawa watu kwa pesa nyingi sana na kwa muda mrefu ili waweze kuisaidia taifa.
Tatu,Tanzani ni nchi bora sana Duniani kwa upelelezi na wapelelezi ni hawa waliompeleleza Mbowe..hivyo upelelezi wao ni wakitaalamu kama majibu ya Dactari
Nne,hukumu ndogo dhidi ya kesi ya mbowe ni ushahidi tosha ya kwamba upelelezi ni wakitaalam na u.efuata sheria.
Tano..gaidi sio mpaka mtu alipue bomu au ateke watu ndio anakuwa guidi...juzi uingereza jamaa mmoja alikuwa na mikakati ya kumteka mbunge tu basi akatuhumiwa kama gaidi.
Nimalize kwa kusema acheni ushabiki wa itikadi kwenye hili..wakina Kingai na wengine hawana interest yeyote dhidi ya kesi ya mbowe bali wanamshughulikia kama muhalifu yeyote mwenye makosa.
We una laana inakutafuna , yani upelelezi wa kulazimisha A kuwa B Ndo upelelezi , sikia ipo siku Kuna watu watakufa mdomo wazi KWa matendo yao ya ajabu Mbowe mnamchelesha ila atatoka , na mkilazimisha kumfunga ipo siku mtakutana na watu barabarani nyie endeleni na ushabiki Katika Jambo hiliHapo vip!!
Binafsi tokea mwanzo niliamini jamuhuri wapo sahihi na ni wakweli dhidi ya Mbowe,na hii inadhihirishwa katika maeneo haya...
Ona hii ng'ombe ya gaidi mwendazakeudhoefu
UpopomaHapo vip!!
Binafsi tokea mwanzo niliamini jamuhuri wapo sahihi na ni wakweli dhidi ya Mbowe,na hii inadhihirishwa katika maeneo haya.
Kwanza upeleleze wa Kingai sio wa mchezo mchezo ni mtaalam mwenye udhoefu wa muda mrefu katika maswala ya upelelezi na hii kesi ya Mbowe upelelezi wake ni umeanza muda mrefu sana sio juzi tokea mwa 2020.
Pili, ushahidi ya wakina Mahita ni ushahidi mzito sana...ni watu ambao ni mapapa wa system kwa muda..na serikali imewaanda hawa watu kwa pesa nyingi sana na kwa muda mrefu ili waweze kuisaidia taifa.
Tatu,Tanzani ni nchi bora sana Duniani kwa upelelezi na wapelelezi ni hawa waliompeleleza Mbowe..hivyo upelelezi wao ni wakitaalamu kama majibu ya Dactari
Nne,hukumu ndogo dhidi ya kesi ya mbowe ni ushahidi tosha ya kwamba upelelezi ni wakitaalam na u.efuata sheria.
Tano..gaidi sio mpaka mtu alipue bomu au ateke watu ndio anakuwa guidi...juzi uingereza jamaa mmoja alikuwa na mikakati ya kumteka mbunge tu basi akatuhumiwa kama gaidi.
Nimalize kwa kusema acheni ushabiki wa itikadi kwenye hili..wakina Kingai na wengine hawana interest yeyote dhidi ya kesi ya mbowe bali wanamshughulikia kama muhalifu yeyote mwenye makosa.
Hovyo kabisaRudia kusoma
Sijaona Cha maana ulichoeleza zaidi ya maneno Mengi kama mzaramo,Hapo vip!!

Mwanamke aliyelala naye gesti aliondoka muda huo kwenda kwao hivyo akawa hana chakufanya kwani alikosa cha asubuhi.Saa 10 usiku unateseka na Freeman!