IGP Sirro: CHADEMA wanamuona Mbowe Malaika hawezi kosea, ushahidi tunao

Kwa hiyo haija thibitishwa na mahakama.
sasa sisi wananchi bado tunamuona Mbowe na genge lake ni Gaidi kwa kuwa mahakama haikumsafisha.
ni bora kama mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru ingekaa vizuri kuliko hii ya kufutiwa bado haijamsafisha mbowe, bado anaonekana ni Gaidi tu.
 
Na huyu muuaji ndie alimpa taarifa za uongo Mh. Rais. Anatakiwa awajibishwe kwa kumpotosha Rais.
 

Tofautisha wananchi na mamburula.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
 
😀😀😀,Endelea kuteseka!Mbowe sio gaidi Kwa mujibu wa Katiba ya JMT na sheria zake!
Ndio maana mahakama imemuachia huru bila masharti yoyote,kiufupi ni kama DPP kaiambia mahakama kuwa ushahidi nilioleta ni Crap!
Jiulize,iweje DPP afute kesi siku ambayo Mbowe anaanza kujitetea?
Kibatala anasema walikuwa wameshajipanga kuleta mashahidi 21 na nyaraka 20 kuthibitisha Mbowe si gaidi!
Baada ya mashtaka kushindwa kujua majina na anuani za mashahidi ndio wakaogopa surprise,wakaamua kufuta kesi ya mchongo!

Mmenyima Mbowe kuelezea upande wake mahakamani,basi anakuja kutueleza kwenye majukwaa ya kisiasa!
 
Pamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.

Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
Mkuu Afya yako ya ubongo haiku sawa
 
Unajua maana ya kufutiwa mashtaka na DPP?
Maana yake mashtaka yana mushkeli, ni batili.. yaani kosa halipo, meaning watuhumiwa siyo gaidi!
 
Mheshimiwa IGP Sasa cjui anajisikiaje jaman. Kweli maisha hyatabirik
 
Igp mpumbafu Sana. Mama awapelekee brigadier general mmoja akawasimamie
 
The idiot
 
Ili kulinda heshima angalau uliyobakiza toka Kwa familia yako maana Hakuna mtanzania mwenye akili anayekuheshimu tena, kabla ya saa 12 jioni ya Leo jiuzulu.
 
Ningefurahi kama angeutoa ule ushahidi hadharani tuu, maana kesi imeshafutwa.
 
Ali
Aliyemfungulia mashtaka ya ugaidi ndio amefuta mashtaka. Wewe Baki na Roho yako mbaya utajijua mwenyewe.

Tatizo mnajifanya mna chuki na upinzani wakati watoto wa makamba , kikwete na Lowassa wanapewa vyeo CCM. Nyie mmebaki kupiga mayowe na wakati wengine wanakula bill jasho.
 
Ndio maana niliwaanbia wafuasi wa Mbowe huu ni mtego hatari saana kwai Mbowe na hilo genge lake.
kesi imeondolewa haijahitimishwa na mahakama maana yake inaweza kurudishwa muda na wakati wowote.
Hivyo Mbowe na wenzake ni vyema wakabadilika na kuachana kabisa na mipango ya kihalifu, Endapo Mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru angekuwa amesafishika lkn sio kwenye hatua hii.
Jambo la msingi abadilike.....na awe mzalendo kwa Taifa lake.
 
Kwa hiyo alikutwa na hatia na Kingai? Urio? Inspekta Tumaini?

Tofautisha tuhuma na hatia, Mtuhumiwa na Muhalifu.

Jifunze sheria japo kidogo.

Sent from my CMR-AL09 using JamiiForums mobile app
 
Utakufa ukiwa umesimama kingai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…