Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
Kwa sakata hili la Mbowe, kweli mungu fundi, yaani bila kutumia nguvu ametupigania wana kaskazini kwa kuliweka gaidi mbowe ndani, na lisitoke kamwe.
Hongera kwa jeshi la polisi, na wakuu wote wa vyombo vya usalama kwa kuukomesha mpango wa ugaidi wa Mbowe.
Heko pia kwa mama yetu SSH kwa kulijua hilo, ikiwezekana asitoke huko.! Wananchi tupo upande wa serikali na tunafuatilia kwa karibu suala hili ili kuhakikisha gaidi anapatiwa haki yake kisawa sawa.
Na, liwe fundisho.!