polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Kwa unyama alio kuwa anaufanya sabaya arusha alistahili kunyongwa hadharani tena uwanja wa taifa na iwe siku maalum akiwa uchi wa mnyama.Huyu @Shoga hana akili kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa unyama alio kuwa anaufanya sabaya arusha alistahili kunyongwa hadharani tena uwanja wa taifa na iwe siku maalum akiwa uchi wa mnyama.Huyu @Shoga hana akili kabisa
Kwa Sabaya mnakenua meno haki imetendeka ,kwa mbowe haki haikutendeka.unaandika ukiwa rumumba pale !.
kesi hakuna kilichobaki kutafuta la kuvuma ili kesi watu wakose umakini wakufatilia
baya alitishia kwa siraha? Alifanya unyang'anyi kwa siraha?
Yeye ndio muasisi wa siasa hizi za kishenzi hawa waliopo sasa madarakani walipatikana kwa maagizo yake. Hivyo ni muendelezo wa ushetani wake.Selikali inalazimisha kwani dhalimu bado yupo madarakani?
Bichwa majiSukuma gang
Wewe unachuki na hayati JPM.Yeye ndio muasisi wa siasa hizi za kishenzi hawa waliopo sasa madarakani walipatikana kwa maagizo yake. Hivyo ni muendelezo wa ushetani wake.
Wewe unachuki na hayati JPM.
Usiwe mtu wa kulaumu hearsay tu. Sasa hivi mama nae ni dhalimu. Mnapenda lawama sana.Sijawahi kumpenda shetani na mambo yake yote. Na hiki ninachosema ni ukweli unaolindwa na mfumo dhalimu. Iko siku unyama wote aliotenda na genge lake utakaa hadharani.
Si mnapumua na mama siyo dhalimu?Yeye ndio muasisi wa siasa hizi za kishenzi hawa waliopo sasa madarakani walipatikana kwa maagizo yake. Hivyo ni muendelezo wa ushetani wake.
Msenge weweMkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Mimi binafsi naamini katika haki na haki huwa haipindishwi.
Freeman Mbowe alikuwa na kaka yake ambae alikuwa kanali wa Jwtz. Alipofariki serikali nzima ilienda kumhani. Hii sio justification kuwa hana hatia.
Lakini kwa namna familia yao ilivyo na influence ya kisiasa hapa Tanzania ni wazi kuwa walikuwa wanafuatiliwa kwa kila nyendo zao. Kupatikana na tuhuma za ugaidi baada ya vuguvugu za katiba mpya kupamba moto inatia shaka.
Kesi yake juu ugaidi inaonyesha kuwa kuna mvua zinakuja.
Mvua za mahakama za Tanzania huwa hazitabiriki. Uwe na kosa au hauna kosa zinakunyeshea.
Swali, je mtakenua meno na kufurahi kama mlivyofurahia juu ya Sabaya?
My take: Sabaya alimdhibiti Mbowe Hai mkajenga chuki mbaya sana.
Mbowe au amaniMkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

Usiwe mtu wa kulaumu hearsay tu. Sasa hivi mama nae ni dhalimu. Mnapenda lawama sana.
Rudia kusomaUmeandika nini sasa?
Saa 10 usiku unateseka na Freeman!Hapo vip!!
Binafsi tokea mwanzo niliamini jamuhuri wapo sahihi na ni wakweli dhidi ya Mbowe,na hii inadhihirishwa katika maeneo haya.
Kwanza upeleleze wa Kingai sio wa mchezo mchezo ni mtaalam mwenye udhoefu wa muda mrefu katika maswala ya upelelezi na hii kesi ya Mbowe upelelezi wake ni umeanza muda mrefu sana sio juzi tokea mwa 2020.
Tatu ushahidi ya wakina Mahita ni ushahidi mzito sana...ni watu ambao ni mapapa wa system kwa muda..na serikali imewaanda hawa watu kwa pesa nyingi sana na kwa muda mrefu ili waweze kuisaidia taifa.
Nne,Tanzani ni nchi bora sana Duniani kwa upelelezi na wapelelezi ni hawa waliompeleleza Mbowe..hivyo upelelezi wao ni wakitaalamu kama majibu ya Dactari
Tano,hukumu ndogo dhidi ya kesi ya mbowe ni ushahidi tosha ya kwamba upelelezi ni wakitaalam na u.efuata sheria.
Sita..gaidi sio mpaka mtu alipue bomu au ateke watu ndio anakuwa guidi...juzi uingereza jamaa mmoja alikuwa na mikakati ya kumteka mbunge tu basi akatuhumiwa kama gaidi.
Nimalize kwa kusema acheni ushabiki wa itikadi kwenye hili..wakina Kingai na wengine hawa interest yeyote dhidi ya kesi ya mbowe bali wanamshughulikia kama muhalifu yeyote mwenye makosa.