mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli bongo elimu si lolote wala si jambo la kujivunia. Jambo ambalo limepelekea elimu kusimama kutolewa nchini inaoneka bado jambo hilo halina any seriousness?Kwahiyo mpaka? Watu waanze kufa 40 Kwa siku kama Italy ndo wataamka?
Suala sio kufunga Tu mipaka
Suala ni ni kutowapima wanaoingia Hadi wanaenda wenyewe hospitali
Sielewi IGP anahusika vipi na taaluma na issue za afya?
Mbona hutuliagi weweNdiyo serekali yenu hiyo, ipongeze tu
In God we Trust
Sasa hapo sijatulia kivipi wakati huo ndiyo ukweli?Mbona hutuliagi wewe
Halafu tamu zaidi hakuna kwenda kutibiwa nje![emoji16][emoji16][emoji16]
Wanasubiri Nusu ya Watanzania waipate, ndo wafunge. wao wanaichukulia hii kama zawadi kutoka mataifa ya mbaliWanasubiri nini ?
Una utoto sanaSasa hapo sijatulia kivipi wakati huo ndiyo ukweli?
In God we Trust
Halafu Polisi na Corona wana 'square wapi'? Hili ni suala la utaalam, wao wanatakiwa kusikiliza tu maagizoKwahiyo mpaka? Watu waanze kufa 40 Kwa siku kama Italy ndo wataamka?
Suala sio kufunga Tu mipaka
Suala ni ni kutowapima wanaoingia Hadi wanaenda wenyewe hospitali
"MSINISHAURI WALA KUNISHINIKIZA KUFUNGA MIPAKA KWA HUU UGONJWA . NA MIMI NILISHASEMA UKINISHAURI NDIO UMEHARIBU. MIMI SIFUNDISHWI KAZI NA MTU" ( MAGU, 18/03/2020)