IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

Pascal Mayalla,
Sikutegemea comment dhaifu kama hii kutoka kwako aliyekudanganya hakuna aliyeambukizwa nani,dalili zinaonesha baada ya Siku 14 ndio kutatoa majibu huku kitaa.
Mkuu, Mchawi mchukie, lakini sifa zake mpe.
Wote, lazima tuzifuate taarifa rasmi. Mpaka jana, hakuna mwathirika hata mmoja aliyetangazwa, tofauti na hao waliotoka nje ya nchi yetu.
Sina shaka mnakumbuka zile taarifa za ugonjwa wa ZITA. Serikali ilipopiga mkwara, na JPM kumfurusha Binti ya Malecela, ambaye alisema tuna wagonjwa mamia, huo ugonjwa hatukuusikia tena!
Pia, jana kuna watu walishauri awepo mtu au watu maalumu wa kutoa taarifa za maendeleo ya huo ugonjwa. Sio kila mtu anakuwa mtoa taarifa. Kule Kenya, mara kwa mara, tunamuona Rais wao, anatoa taarifa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom