Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kizungu ni lugha za wenzetu, inapoandikwa so far maana yake mpaka sasa bado hakuna ambukizi lolote la Tanzania kwa Tanzania lililothibitishwa!.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizungu ni lugha za wenzetu, inapoandikwa so far maana yake mpaka sasa bado hakuna ambukizi lolote la Tanzania kwa Tanzania lililothibitishwa!.
Mkuu Mromboo, nimeupokea ushauri wako na nitauzingatia.Paskali heshima yako. Hii kitu ya Kabendera we tulia tu ukubali kufa nayo kama Nape alivyokubali kufa kwa goli la mkono.
Mkuu, Mchawi mchukie, lakini sifa zake mpe.Pascal Mayalla,
Sikutegemea comment dhaifu kama hii kutoka kwako aliyekudanganya hakuna aliyeambukizwa nani,dalili zinaonesha baada ya Siku 14 ndio kutatoa majibu huku kitaa.
Rudi Mloganzila fasta usije ukapeleka upupu kwa mkeo na wanao!!