IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

Hii nchi kwa maigizo wallahi sihami 😀 😀 😀 😀
I wish I kudu bi..
Sikujua maafande nao wanahusika na magonjwa ya mlipuko...

Njaa mbaya, beggars CAN'T be choosers...
Tunahitaji hizo dollars za visa, hatuwezi kufunga mipaka...kamanda sema hivi

Everyday is Saturday....................😎
 
Huwezi kusema "Mungu atuepushe na Corona ila hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu tutakosa Pesa ".
Mungu huanzia pale ambako mwanadamu kashindwa kabisa, sasa hiki kiburi cha kishamba hakitambakiza mtu salama.

Yaani Wapinzani wanafananishwa na Corona? What a grotesque disdain?
Dhihaka hii Mungu atailipa huku mkishuhudia wote nawaambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu washakufa bado Mungu anasubiri tu? Anasubiri hadi lini? Kwanini asingezuia corona isitokee badala ya kusubiri binadamu ashindwe kwanza. Mambo mengine ni dhihaka kwa Mungu maana anaonekana anazidiwa na binadamu uwezo wa kufikiri
 
ETZx0ZMXsAAJvzn.jpeg
 
My Son drink water,
Duh.. !. Kama Corona ingekuwa inachagua, then ni kweli itawamaliza!, but very unfortunately Corona haichagui, hivyo kama ni kuwamaliza, sio kuwamaliza bali kutumaliza!.

Very fortunately so far bado hakuna Maambukizi yoyote ya Corona kwa Tanzania yalilerwa na walio ambukizwa, waathirika wote wa Corona waliambukizwa huko walikotoka na walipoileta kwetu, bado wamebaki hao hao, haijawaambukiza wengine.
P
 
Natamani ikupate na vile una upungufu wa kinga ikufyekelee akhera. You are a disaster to the nation
 
Duh...!. Kwanza sio vizuri kutoa nje siri ya mgonjwa, hata kama huwa unaniona kwenye foleni ya kuchukua ARV, kunitolea siri yangu nje hivi ni kuninyanyapaa!. This is not fair!. Sio kunitendea haki, ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake, kwanini wewe ulete siri yangu humu jeiefu?.

Wewe utakua ni mtu mkatili sana, yaani licha ya kuijua status ya hali ya afya yangu, unaniombea Corona inipate ili..
Hilo namwachia Mungu!.

Ukatili wangu haufikii wako uliofanya kwa kabendera.
 
Mimi ni Mkristu, tunafundishwa usihukumu ili usihukumiwe. Maadam kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, kama kweli ni mimi, then nitakumiwa, ila pia kumnyooshea kidole na kumtuhumu an innocent kwa mabaya ambayo hakuyatenda, kutapelekea kujichumia dhambi za bure, better be safer sorry!.
P
 
Duh...!. Kwanza sio vizuri kutoa nje siri ya mgonjwa, hata kama huwa unaniona kwenye foleni ya kuchukua ARV, kunitolea siri yangu nje hivi ni kuninyanyapaa!. This is not fair!. Sio kunitendea haki, ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake, kwanini wewe ulete siri yangu humu jeiefu?.

Wewe utakua ni mtu mkatili sana, yaani licha ya kuijua status ya hali ya afya yangu, unaniombea Corona inipate ili..
Hilo namwachia Mungu!.
P
Bro,achana na hili pumbaf, tunatakiwa tuwatoe hawa kwenye community tunaongea habari ingine linaongea abari ingine.
Usimwachie mungu sometyme yuko busy.
Kill him with words whatever he is.
You can do it🤛
 
Huwezi kusema "Mungu atuepushe na Corona ila hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu tutakosa Pesa ".
Mungu huanzia pale ambako mwanadamu kashindwa kabisa, sasa hiki kiburi cha kishamba hakitambakiza mtu salama.
Yaani Wapinzani wanafananishwa na Corona? What a grotesque disdain?
Dhihaka hii Mungu atailipa huku mkishuhudia wote nawaambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika Mungu wetu tunayemwamini hatakubaliana na dhihaka ya dizaini hii na badala yake atafanya vice versa kwa kumfuta yeye Polepole na chama chake cha CCM ndani ya ardhi hii ya Tanzania
 
Duh...!. Kwanza sio vizuri kutoa nje siri ya mgonjwa, hata kama huwa unaniona kwenye foleni ya kuchukua ARV, kunitolea siri yangu nje hivi ni kuninyanyapaa!. This is not fair!. Sio kunitendea haki, ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake, kwanini wewe ulete siri yangu humu jeiefu?.

Wewe utakua ni mtu mkatili sana, yaani licha ya kuijua status ya hali ya afya yangu, unaniombea Corona inipate ili..
Hilo namwachia Mungu!.
P
Daaaaa! Napata elimu fulani kutoka kwako! Haya majibu, najifunza kutopanic kwa maneno ya kuudhi uliyorushiwa. UKIAMBIWA WEWE NI MJINGA, WAKATI WEWE SIO MJINGA, BADO HUTAKUWA MJINGA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla,
We jua tu taarifa zinaweza kufichwa kwa lengo la kulinda Utalii, mbali na hilo, ujue hivi sasa Nigeria wameanza kupata maambukizi ya ndani.

Mwenzako akinyolewa,............
 
Back
Top Bottom