IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

IGP Sirro: Hatujafikia hatua ya kufunga mipaka ya nchi kutokana na ugonjwa wa Corona

tatizo corona imeingia Tanzania huku tukiwa tunaelekea ktk uchaguzi mkuu hivyo tusishangae vijembe, kejeli, uzushi n.k hilo ndio Joto la corona +Uchaguzi mkuu 2020=

Sent using Jamii Forums mobile app
kipindi hiki tunapswa kuvumiliana sana kuliko nyakati zilizo pita
 
Mimi ni Mkristu, tunafundishwa usihukumu ili usihukumiwe. Maadam kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, kama kweli ni mimi, then nitakumiwa, ila pia kumnyooshea kidole na kumtuhumu an innocent kwa mabaya ambayo hakuyatenda, kutapelekea kujichumia dhambi za bure, better be safer sorry!.
P
Unajua uliyoyatenda huu mwaka haupiti kabla hujalala kwa kipimo kilekile
 
Duh.. !. Kama Corona ingekuwa inachagua, then ni kweli itawamaliza!, but very unfortunately Corona haichagui, hivyo kama ni kuwamaliza, sio kuwamaliza bali kutumaliza!.
Very fortunately so far bado hakuna Maambukizi yoyote ya Corona kwa Tanzania yalilerwa na walio ambukizwa, waathirika wote wa Corona waliambukizwa huko walikotoka na walipoileta kwetu, bado wamebaki hao hao, haijawaambukiza wengine.
P
Una uhakika!?
 
Nadhani hii corona ilikuwepo kitambo na serikali ilitoa taarifa japo haikujua ni ugonjwa gani.
255682687756_status_ac198658eb0c4b1d8fb06052a67eda42.jpeg
View attachment 1394642
255682687756_status_7845bbf2f6c244fba6c2bf997254cad0.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikutegemea comment dhaifu kama hii kutoka kwako aliyekudanganya hakuna aliyeambukizwa nani,dalili zinaonesha baada ya Siku 14 ndio kutatoa majibu huku kitaa.
Hiyo 14 days ni incubation period, ukikutana na mwenye virusi ukaambukizwa, ukipimwa rasmi kimaabara, utagundulika ume contract hata kama hujaugua.

Hivyo kwa Tanzania hao waathirika 6 wa Corona, wamejichanganya sana na Watanzania na hivyo wote hao virusi kuwatembelea, but none contracted.
P
 
Mimi ni Mkristu, tunafundishwa usihukumu ili usihukumiwe. Maadam kila mtu atahukumiwa kwa matendo yake, kama kweli ni mimi, then nitakumiwa, ila pia kumnyooshea kidole na kumtuhumu an innocent kwa mabaya ambayo hakuyatenda, kutapelekea kujichumia dhambi za bure, better be safer sorry!.
P
Paskali heshima yako. Hii kitu ya Kabendera we tulia tu ukubali kufa nayo kama Nape alivyokubali kufa kwa goli la mkono.
 
My Son drink water,
Kwenye hili sidhani kama wapo nchi kituko kama sisi.

Bila shaka wanaotakiwa kufanya maamuzi magumu na sahihi kwenye hili nao walikwenda kupanga foleni kupata kikombe kwa babu wakiwamo na jero mkononi.
 
Back
Top Bottom