Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
ZEC ya JECHA 😃😃😃😃View attachment 1606491
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi halimpendelei yoyote wako kutenda haki na kulinda amani...
Isiwe maneno, watekeleze kwa vitendoView attachment 1606491
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi halimpendelei yoyote wako kutenda haki na kulinda amani
Amewaambia wanasiasa wasiwe na hofu, Jeshi la Polisi litampigia saluti yoyote atakayechaguliwa kuingoza dola
Aidha amewataka Jeshi la Polisi, Waandishi, ZEC na NEC watimize wajibu wao. Na wanasiasa pia watimize wajibu wao ili wasiingize taifa kwenye uhalifu
Pia amesema kuna baadhi ya watu wamesema watatangaza matokeo, amesisitiza jukumu la kutangaza matokeo ni kazi ya Tume ya Uchaguzi
View attachment 1606491
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi halimpendelei yoyote wako kutenda haki na kulinda amani...
"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.Policcm si wa kuamini hata sekunde moja.