Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu babu sijui anajua watu wote ni wajinga! hatupendelei inamaana sisi hatuoni matendo yenu wala kusikia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe na aibu wewe IGP Sirro, Mnapendelea CCM hilo hakuna asiyelijua hata kidogo.View attachment 1606491
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi halimpendelei yoyote wako kutenda haki na kulinda amani
Amewaambia wanasiasa wasiwe na hofu, Jeshi la Polisi litampigia saluti yoyote atakayechaguliwa kuingoza dola
Aidha amewataka Jeshi la Polisi, Waandishi, ZEC na NEC watimize wajibu wao. Na wanasiasa pia watimize wajibu wao ili wasiingize taifa kwenye uhalifu
Pia amesema kuna baadhi ya watu wamesema watatangaza matokeo, amesisitiza jukumu la kutangaza matokeo ni kazi ya Tume ya Uchaguzi
Mwenye macho haambiwi tazama ... tunawaona, tunawasikia ila hatuna imani na weledi katika kazi yenu huku mtaani tumewapa jina POLICCMView attachment 1606491
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi halimpendelei yoyote wako kutenda haki na kulinda amani
Amewaambia wanasiasa wasiwe na hofu, Jeshi la Polisi litampigia saluti yoyote atakayechaguliwa kuingoza dola
Aidha amewataka Jeshi la Polisi, Waandishi, ZEC na NEC watimize wajibu wao. Na wanasiasa pia watimize wajibu wao ili wasiingize taifa kwenye uhalifu
Pia amesema kuna baadhi ya watu wamesema watatangaza matokeo, amesisitiza jukumu la kutangaza matokeo ni kazi ya Tume ya Uchaguzi
View attachment 1606491

Tunataka matokeo yatangawze hadharani kweupe peee!View attachment 1606491
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi halimpendelei yoyote wako kutenda haki na kulinda amani
Amewaambia wanasiasa wasiwe na hofu, Jeshi la Polisi litampigia saluti yoyote atakayechaguliwa kuingoza dola
Aidha amewataka Jeshi la Polisi, Waandishi, ZEC na NEC watimize wajibu wao. Na wanasiasa pia watimize wajibu wao ili wasiingize taifa kwenye uhalifu
Pia amesema kuna baadhi ya watu wamesema watatangaza matokeo, amesisitiza jukumu la kutangaza matokeo ni kazi ya Tume ya Uchaguzi
Hadi leo hajatolea ufafanuzi unyanysaji wa Mh. Mbowe na Ocd.Sirro wadanganye wajinga
hujui usemalo.........mshindi mmoja kutoka ????? hata kwa bao la mkono"Takwimu zao zinaonyesha hakuna dalili yoyote kwa Mgombea wa Chama cha Meko full kupata hata asilimia 40 ya kura. Chama cha Meko full wameshakata tamaa na ushindi. Kwa msingi huo wamepangwa kumtangaza Mgombea wa Chama Cha Meko full usiku wa manane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema ipo siku tutatamani sana tungesimamia haki na kupinga uonevu hapa nchini, by then tutakua tumechelewa na hakuna atakayekua salama, labda wenye uraia wa nchi mbili.hujui usemalo.........mshindi mmoja kutoka ????? hata kwa bao la mkono
Namkumbusha IGP kuhusu ile tume iliyokwenda kuchunguza jimbo la Hai kauli zilizotolewa na OCD kwamba Mbowe hawezi kushinda ilhali yeye ni police asiye takiwa kuwa na upande
Nikiwa kama raia mtanzania tume siwaamini hata siku na moja tume tume tume masilahi yenu binafsi yana dhurumu haki zetu watanzania tulio wengi nyie mwa nufaika wachache tulio wengi twaumia hatutaki huo ujingaView attachment 1606491