Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Hatupendelei Upande wowote, tupo kutenda haki

Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Hatupendelei Upande wowote, tupo kutenda haki

Leo kuna Mgombea Mmoja alisema kidumu Chama cha Mapinduzi akajibiwa Kidumu cha Petroli Nadhani ujumbe ulifika loud n clear hehehe

Safari hii Figisu za ZEC na NEC zinaweza kutuharibia sifa ya Tanzania
Wapi hiyo
 
Hapo wanamaana ingine na maana yao hali.

Hebu weka negative kwenye positive na positive kwenye negative ndio utapata message ya Siro.
 
Limmakamate mtoto wa dada, sabaya, au musiba mulaga kwa uchochezi ili tuamine maneno yake
 
Kamanda ziro ni kada mwaminifu, hapa anapiga porojo tu tunajua lazima atavunja kanuni za upolisi kwa manufaa ya chama chake!
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema kuwa Jeshi la Polisi lipo kwa mujibu wa sheria na kamwe halijihusishi na masuala ya kisiasa.

Pia amewahimiza askari wa Jeshi hilo kutimiza wajibu wao kwa kuhakikisha wanatenda haki na kufuata taratibu zilizopo.

View attachment 1606527
Hayo ndo maneno watanzania wanataka kusikia. Ni haki tu!!
 
Labda ni kweli jeshi lake halipendelei upande,lakini jeshi lake lina makengeza.

Ofisi za CHADEMA zilichomwa moto huko Ars,hawakufanya uchunguzi mpaka baada ya shinikizo wakaja kusema waliochoma walikuwa ni watu wa CHADEMA,jambo hili haliingii akilini hata kidogo.

Huko Iringa kijana wa ccm kuliwa,baada ya amri ya polepole wakaja kushikwa watu na akasema ni CHADEMA...
Kina Mawazo,Bensaa nane na wengineo hakuna uchunguzi...

Huku Akwilina aliuliwa na polisi hao hao na kuwafungulia viongozi wa CHADEMA kesi za mauaji ya Akwilina.

Labda hamaanishi anachosema bila shaka
 
Binafsi sina imani kabisaaaaa na Jeshi la POLISI sijui nyie wananchi wenzangu humu ndani ...

Zoote 9 kumi kutekwa kwa Mooo pale mlitisha pamoja na uzushi woote ule mkatuletea picha ya gari bovu limepaki uani

Na kwa jinsi askari wetu walivyokua hawana haya pamoja na uzushi wooote ule wakaenda kugonga na chai asubuhi kwa Mooo njaaaa hizi du!!!

Ha ha ha ha ha haaaaaaa yaani huwa nikifikiria hilo tukio pekee naishia kucheka tu haki ya Mungu
 
Back
Top Bottom