Labda ni kweli jeshi lake halipendelei upande,lakini jeshi lake lina makengeza.
Ofisi za CHADEMA zilichomwa moto huko Ars,hawakufanya uchunguzi mpaka baada ya shinikizo wakaja kusema waliochoma walikuwa ni watu wa CHADEMA,jambo hili haliingii akilini hata kidogo.
Huko Iringa kijana wa ccm kuliwa,baada ya amri ya polepole wakaja kushikwa watu na akasema ni CHADEMA...
Kina Mawazo,Bensaa nane na wengineo hakuna uchunguzi...
Huku Akwilina aliuliwa na polisi hao hao na kuwafungulia viongozi wa CHADEMA kesi za mauaji ya Akwilina.
Labda hamaanishi anachosema bila shaka