Uchaguzi 2020 IGP Sirro: Hatupendelei Upande wowote, tupo kutenda haki

Huyu babu sijui anajua watu wote ni wajinga! hatupendelei inamaana sisi hatuoni matendo yenu wala kusikia?
 
Uwe na aibu wewe IGP Sirro, Mnapendelea CCM hilo hakuna asiyelijua hata kidogo.
 
Mwenye macho haambiwi tazama ... tunawaona, tunawasikia ila hatuna imani na weledi katika kazi yenu huku mtaani tumewapa jina POLICCM
 
Sirro Sirro Sirro body language yako inakataa kabisa hicho unachokiongea sicho kitokacho moyoni
Safari amani ya Tanzania iko mkononi mwako Ukichezea kwa kutaka kumfurahisha aliekuteua imekula kwako
 
Yeye mwenyewe Lisu anajua anakwenda kushindwa Ila anacho ogopa ni kushindwa vibaya Ila halinabudi ilo kutokea.
 
 

Attachments

  • 2587844-aa5b6b5a7b0df279df6b891d75542569.mp4
    6 MB
Tunataka matokeo yatangawze hadharani kweupe peee!
 
Hatuna viongozi wapolisi wanaojiamini,wanamuogopa mkosefu wa adabu polepole na basiru,polisi wanajiaibisha sana sana ,
 
Sirro wadanganye wajinga
Hadi leo hajatolea ufafanuzi unyanysaji wa Mh. Mbowe na Ocd.
Haja ongea lolote kuhusu vutendo vya udhalilishaji alivyo fanyiwa Matiko. Bado ana piga ngonjera za ajabu hapa.
 
hujui usemalo.........mshindi mmoja kutoka ????? hata kwa bao la mkono
 
Ata yeye Lisu anajua anakwenda kushindwa Ila anacho ogopa ni kushindwa vibaya na kwa aibu Ila halinabudi ilo kutokea.
 
hujui usemalo.........mshindi mmoja kutoka ????? hata kwa bao la mkono
Sema ipo siku tutatamani sana tungesimamia haki na kupinga uonevu hapa nchini, by then tutakua tumechelewa na hakuna atakayekua salama, labda wenye uraia wa nchi mbili.
 
Namkumbusha IGP kuhusu ile tume iliyokwenda kuchunguza jimbo la Hai kauli zilizotolewa na OCD kwamba Mbowe hawezi kushinda ilhali yeye ni police asiye takiwa kuwa na upande

iligundulika ocd aliongea ukweli hivyo kesi imeisha mkuu[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Nikiwa kama raia mtanzania tume siwaamini hata siku na moja tume tume tume masilahi yenu binafsi yana dhurumu haki zetu watanzania tulio wengi nyie mwa nufaika wachache tulio wengi twaumia hatutaki huo ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…