IGP Sirro, huyo ni mtoto wa nani?

Nilichojifunza ukiwa kiongozi mkubwa inabidi kuchagua maneno ya kuongea public. Ukicheki kwa jicho la 3[emoji102] igp Sirro , kimwili yupo na mama lakini kiroho hayupo naye
Siro sio mjinga. Lazima Ni member humu na haya maudhui ya jf ameyaona na amejua jamii inamuonaje.
Atachukua hatua stahiki dhidi ya Hilo Toto lake.
 
Kweli mkuu , hakuna mzazi atapenda zaa mtoto ,mwizi, gaidi, au malaya ,teja n.k , Binafsi nafikili KILA mtoto huzaliwa akiwa na baraka zote na ndo maana mtoto mchanga aweza kuta anacheza mpaka na nyoka na asimdhulu,

Lakini pia Kuna siri Kati ya mtoto na Mungu, that's wanazaliwa hawaongei ila Mungu kawapa mawasiliano ya haraka , na mama zao, na wanawatambua,

IGP kazingua Sana KWa kauli yake

Naunga mkono for 100% andiko lako
 
Ulevi wa madaraka ni shida sana! Anaweza kuzani anamfurahisha mteule wake lakini kwa chanzo cha tukio hili, alipaswa kuliombea jeshi msamaha badala ya kudhihaki wazazi wa marehehemu ambao katu hawakumtuma mwanao kuyafanya hayo!
 
Weekeni picha ya Hilo Toto la chanika nasi tulione tusizae Kama Hilo !!
 
Huyu mzee kaongea vitu vya ajabu sn
 
Wewe mambo yako yote uliyowahi kufanya wazazi wako wanayajua? Grow up!
 
Unajua, inasemekana damu za binaadam zikimwagwa kwa uonevu tu, hazimwachi mtu anayesababisha zimwagike, ni lazima atadhurika tu kwa njia moja au nyingine.
Kamanda Sirro, dhambi huzaa dhambi, uovu huzaa uovu na haki huzaa haki. Laana nayo ni mbaya sanakwani huharibu kizazi cha watenda waovu hadi kizazi cha nne.
 
Kamanda Sirro soma hapo juu boss wangu, najua wewe ni mseminary mzuri lkn kufanya kazi na ccm kumeharibu sana legacy yako
 
Kuna kijana anasumbua sana mitaani, anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya lolote kwa sababu Baba yake ana cheo kikubwa mno serikarini, kijana huyo huvuta unga na kwenda hadi kwenye Hotel ya Baba yake iliyoko Chanika ambako hufanya vituko vya ajabu, ukiwemo kupiga watu.


Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…