Resurrection
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 952
- 1,267
Wewe Zirooo unafaa ushukuru sana tokea la Hamza ni moja tu katika miaka kukatika na nyie ndio sababu .Je ? nyie matokeo yenu unayajua ya kuuwa watu na kudhulumu mali zao Hamza kadili na nyie kistarabu sana kuna wenzako ndio maisha yao kudili na matokeo hayo ,sasa hiyo IGP ulipewa utembee uzuri wako mitaani na kutukana watu anza kazini kwako kuweka uadilifu halfu uje na pumba zako .Raisi Samia anakupenda sana alitakiwa akupige paranja wewe na timu yako yote hamfai kabisa chuki za raia na Polisi ni kubwa zaidi kuliko unavofikiria wananchi hawawapendi Polisi kwa jinsi munavodhulumu watu hili jeshi la Polisi lemefeli totaly Falier.