K Kajeba JF-Expert Member Joined Oct 15, 2020 Posts 1,057 Reaction score 2,364 Sep 14, 2021 #201 Wewe unafikiri watakuja na uniform zao? Watatuma askari waumini wa makanisa na misikiti kwaajili ya kazi maalumu mtoto wa mchungaji said: Mimi mtotot wa nchungaji nimepata wasiwasi sana baada ya kupata taarifa hii kutoka kwa mtu mwenye dhamana ya ulinzi na usalama wa raia wa taifa hili IGP. Inamaana kanisa nyumba ya Mungu si salama kuliko nje. Click to expand...
Wewe unafikiri watakuja na uniform zao? Watatuma askari waumini wa makanisa na misikiti kwaajili ya kazi maalumu mtoto wa mchungaji said: Mimi mtotot wa nchungaji nimepata wasiwasi sana baada ya kupata taarifa hii kutoka kwa mtu mwenye dhamana ya ulinzi na usalama wa raia wa taifa hili IGP. Inamaana kanisa nyumba ya Mungu si salama kuliko nje. Click to expand...
Haulelj Member Joined Sep 13, 2021 Posts 11 Reaction score 4 Sep 14, 2021 #202 Igp anajua anacholenga ila anaficha kwa kugeneralize dini zote