Hatushindwi , tayari tushaanza kumtumia kama ngaziMwache Sirro awape 'promo' CHADEMA.
Inawezekana anao mpango wa siri na chama hicho kwa kazi hiyo anayowafanyia.
CHADEMA washindwe wenyewe kutumia fursa hiyo kuwaelimisha wananchi.
Hakika !Siro Kama sio IQ ndogo Basi anaihujumu serikali tiss wamchunguze
๐ ๐ ๐Kamanda Sirro kama bado anafuata 'maelekezo' na lile kundi la ziwani, basi tutegemee hilo.
Kweli aisee. Badala ya kumcheka tumwombee yule mzeeAisee ngoja tusubiri Tena hiyo tarehe kifupi siro anatakiwa aombewe Dua mungu aingilie kati
Chadema hatuna hata mbunge mmoja kama ilivyo TLP lakino tunaogipwa kama ukomaChadema ni vidume hata wakitaka kuomba tu wanazuiliwa, nafikiri Sirro ana pepo
Serikali yote ina mapepoChadema hatuna hata mbunge mmoja kama ilivyo TLP lakino tunaogipwa kama ukoma
Tatizo la Chadema kila wanapotaka kujadili Katiba mpya huo mikusanyiko unapata Corona,lakini CCM au mbia za mwenge na TBCCM wakijadili na kukusanyika, Corona huwa inakimbia kabisa.Chadema ni vidume hata wakitaka kuomba tu wanazuiliwa, nafikiri Sirro ana pepo
tena jini haswa toka chini ya bahari hindiChadema ni vidume hata wakitaka kuomba tu wanazuiliwa, nafikiri Sirro ana pepo
Tokea ungujatena jini haswa toka chini ya bahari hindi
๐ ๐ ๐Serikali yote ina mapepo