Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Nahisi maza yakikemewa yatamgaragaza kweli kweli, na Sirro mapepo yakiamka atang'ata kila kitu mbele yake[emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi maza yakikemewa yatamgaragaza kweli kweli, na Sirro mapepo yakiamka atang'ata kila kitu mbele yake[emoji28][emoji28][emoji28]
Embu hapo kwa mhe Hamad rashid na yy uumpe hadhi yake Dkt. Hamad RashidLeo 18/09 TBC wapo mubashara wakijadiri katiba mpya katika kipindi chao cha MIZANI.
Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa Dkt.Rioba.
Sasa na CHADEMA nao watajadiri hivyo hivyo katiba mpya siku ya tarehe 04/09 huko Mara.
Sasa IGP Sirro kama ulivyowaacha TBC wajadiri katiba mpya kwa Uhuru bila kuwaingilia basi tunaamini na CHADEMA nao utàwaacha wajadiri katiba mpya huko Mara bila kuwaingilia.
Uzi upo wazi kabisa.
Kwenye hiko kipindi Ryoba kwa hoja zake za kulazimisha alikuwa anavutia upande wa sisiemu waziwazi !!!Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa Dkt.Rioba.
Mdogomdogo Hadi maji,wataita mma.Chadema hatuna hata mbunge mmoja kama ilivyo TLP lakino tunaogipwa kama ukoma
Mjadala wa katiba mpya ndani ya TBC hauna afya (healthlessly) umejaa propaganda, ukuwadi na brainwash za kijuha sana, I think let us move together to MusomaLeo 18/09 TBC wapo mubashara wakijadiri katiba mpya katika kipindi chao cha MIZANI.