IGP Sirro kinachofanywa leo na TBC ndicho kitakachofanywa na CHADEMA siku ya 4/09 huko Mara hivyo huna haja ya kuzuia

Embu hapo kwa mhe Hamad rashid na yy uumpe hadhi yake Dkt. Hamad Rashid

Ndio maana wenzako TBC walikurahisishia walikuwekea picha 4 upande wa kushoto ulikuwa ukiwaona Dkt Ryoba na Dkt.Rashid kisha kulia ni Profs, Lipumba na huyo mwingine wa Mbeya


Na kimsingi kupitia kipindi kile kimeonyesha ni wazi wa Tz hatujui kwann tunataka katiba mpya ?
Wananchi walikuwa wakiulizwa ivi hiii katiba ya sasa inachangamoto gani ? Wengi walikuwa hawajui ...

Nahisi hata na ww mtoa UZI huenda ikawa hauifahamu hii katiba iliyopo
 
Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa Dkt.Rioba.
Kwenye hiko kipindi Ryoba kwa hoja zake za kulazimisha alikuwa anavutia upande wa sisiemu waziwazi !!!
 
VIpi mzania wa mjadala ulikuwaje? Waliokuwa kwenye mjadala walionesha hitaji la Katiba mpya au la?
 
Mjadala wa katiba mpya ndani ya TBC hauna afya (healthlessly) umejaa propaganda, ukuwadi na brainwash za kijuha sana, I think let us move together to Musoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…