IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

Kama hayati na yeye hakujua ni nini kilitokea kwenye kutekwa kwa Mo Basi kuna Mengi alikuwa hayajui hadi umauti wake!!!

Maana yake SIO yote ambayo hutokea nchini ambayo namba Moja huwa anayajua kuna mengine huwa anaambiwa baadae au asiambiwe kabisaaaa!
 
Huyu huyu Sirro aliyekuwa akimtetemekea Makonda hadi anakunja mkia eti anauliza Mh. Lissu alikuwa nani! Masikini Tanzania, ni wapi tulipotea njia? Kweli ingetokea kapigwa risasi Mbunge mdogo kabisa wa CCM, huyo Sirro angepata hata huo usingizi?

Kweli Sirro hakujua Mh. Tundu Lissu alikuwa na wadhifa gani bungeni wakati akipigwa risasi? Haya mazuzu yanaopolewa wapi jamani? Kiustaarabu na kiutaratibu Mbunge, mwakilishi wa Wananchi ana hadhi jamani, tuache michezo ya kitoto na maisha ya watu.
 
Teuzi za viongozi siku hizi unaangaliwa ukatili wa mhusika na uchawa Kwa chama tawala,Na vibwagizo vya kinafiki eti Tanzania ni nchi ya amani!
 
Sirrfo angekaa kimya kuficha madhaifu yako makuu.
Kumhoji kuhusu nini? Nani alimpiga risasi? au alijisikiaje?
 
Kwani sasa hivi Makonda umemfanya nini?
Wadhifa wa Lisu unamzuia kuhojiwa na polisi
Mikesha ya mwenge nayo imetuletea balaa. Muoneni na huyu, huu bila shaka ni uzao wa wakesha mwenge.
 
Hili tukio hata kama ni miaka mia ijayo..lazima watanzania walifanyie uchunguzi....lazima awekwe wazi aliye toa amri na kutekeleza hili tukio la kishenzi kuwahi kutokea
 
Hili tukio hata kama ni miaka mia ijayo..lazima watanzania walifanyie uchunguzi....lazima awekwe wazi aliye toa amri na kutekeleza hili tukio la kishenzi kuwahi kutokea
Hamna mtu wa kuhangaika kufanyia uchunguzi msaliti wa taifa
 
Teuzi za viongozi siku hizi unaangaliwa ukatili wa mhusika na uchawa Kwa chama tawala,Na vibwagizo vya kinafiki eti Tanzania ni nchi ya amani!
Kujificha kwenye geto la amsterdam hakutamsaidia kitu huyo Lisu wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…