Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..video hii ni nzuri zaidi kuhusu mikutano ya IGP mkoani Mara.
..sikiliza toka dakika 12:00 ambapo wagombea ubunge wa CCM na wa CDM wamezungumza.
si vizuri kushangilia mabaya yanapompata mtu lakini huyu jamaa atakapokuwa anashughulikiwa na ICC (na nina uhakika atashughulikiwa) mimi nitashangilia yakimpata yakumpata kwani yeye na timu yake wanafanya makusudi kabisa ya kukandamiza vyama mbadala ambavyo ni tishio kwa CCM ya sasa ambayo kama chama tayari ni marehemu as we speak (RIP CCM yetu ya Mwalimu).Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema ana uhakika Uchaguzi Mkuu utafanyka kwa amani na utulivu, japo kuna baadhi ya vyama wanataka kuwa na vurugu ili uchaguzi usifanyike.
Amesema Jeshi la polisi limejipanga vizuri na ndio maana wanayakamata makundi ambayo yanakuwa yamepangwa kutekeleza uhalifu. Pia amesema majina ya watu wanataka kufanya fujo wanayo hivyo wanawakamata.
Amesema wanataarifa kuwa kuna watu wanaandaliwa kutoka Kenya ili kuja kufanya fujo wakati wa uchaguzi. Hivyo ameongea na viongozi wa siasa ili wazungumze kuhusu mambo haya waliyotaarifiwa.
IGP Sirro amesema wanaona maeneo ya Tarime kuna shida hivyo watatuma polisi wakutosha watakaovaa kiraia ili kuhakikisha amani.
Sijawaji kuona IGP wa ajabu kama huyu.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema ana uhakika Uchaguzi Mkuu utafanyka kwa amani na utulivu, japo kuna baadhi ya vyama wanataka kuwa na vurugu ili uchaguzi usifanyike.
Amesema Jeshi la polisi limejipanga vizuri na ndio maana wanayakamata makundi ambayo yanakuwa yamepangwa kutekeleza uhalifu. Pia amesema majina ya watu wanataka kufanya fujo wanayo hivyo wanawakamata.
Amesema wanataarifa kuwa kuna watu wanaandaliwa kutoka Kenya ili kuja kufanya fujo wakati wa uchaguzi. Hivyo ameongea na viongozi wa siasa ili wazungumze kuhusu mambo haya waliyotaarifiwa.
IGP Sirro amesema wanaona maeneo ya Tarime kuna shida hivyo watatuma Polisi wakutosha watakaovaa kiraia ili kuhakikisha amani.
hao watakuwa ni CCM tu, maji yamewafika shingoni - maana walishaanza kutumia jeshi lako waziwazi lakini wewe upo kimya.Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema ana uhakika Uchaguzi Mkuu utafanyka kwa amani na utulivu, japo kuna baadhi ya vyama wanataka kuwa na vurugu ili uchaguzi usifanyike.
Amesema Jeshi la polisi limejipanga vizuri na ndio maana wanayakamata makundi ambayo yanakuwa yamepangwa kutekeleza uhalifu. Pia amesema majina ya watu wanataka kufanya fujo wanayo hivyo wanawakamata.
Amesema wanataarifa kuwa kuna watu wanaandaliwa kutoka Kenya ili kuja kufanya fujo wakati wa uchaguzi. Hivyo ameongea na viongozi wa siasa ili wazungumze kuhusu mambo haya waliyotaarifiwa.
IGP Sirro amesema wanaona maeneo ya Tarime kuna shida hivyo watatuma Polisi wakutosha watakaovaa kiraia ili kuhakikisha amani.
Hajui hata anaongea nini?Akili fupi unataka kuiaminisha akili kubwa.
Haki huinua TAIFA
Sirro amepoteza sana hadhi na heshima yake mbele ya jamii wa Watanzania, na anajua wazi Tundu akishinda uchaguzi yeye pamoja na maofsa kadhaa wa Polisi waliosimamia uvunjaji wa haki dhidi ya upinzani watakuwa hawana kazi. Wakijua hili wanafanya kila wawezalo kuibeba CCM, wakijua ushindi wa CCM ndio pekee utakalinda kazi zao ili waendelee kulisha familia zaoMkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema ana uhakika Uchaguzi Mkuu utafanyka kwa amani na utulivu, japo kuna baadhi ya vyama wanataka kuwa na vurugu ili uchaguzi usifanyike.
Well saidhao watakuwa ni CCM tu, maji yamewafika shingoni - maana walishaanza kutumia jeshi lako waziwazi lakini wewe upo kimya.
Atapaswa kushitakiwa kwa makosa mengi ndiyo maana hawataki CCM itoke madarakani.Sirro amepoteza sana hadhi na heshima yake mbele ya jamii wa Watanzania, na anajua wazi Tundu akishinda uchaguzi yeye pamoja na maofsa kadhaa wa Polisi waliosimamia uvunjaji wa haki dhidi ya upinzani watakuwa hawana kazi. Wakijua hili wanafanya kila wawezalo kuibeba CCM, wakijua ushindi wa CCM ndio pekee utakalinda kazi zao ili waendelee kulisha familia zao
Target ni kuwa kamata viongozi wa chademaKamwe hatuwezi kuilinda AMANI ya nchi kwa kuruhusu na kufumbia macho wengine wafanye fujo , huku tukikamata wengine tena kwa kuwasakizia uhalifu! Kama tayari IGP anayo majina ya wahalifu si aende tu moja kwa moja akawakamate na kuwafungulia kesi ili sheria ikawamuulike? Hivi vitendo vya jeshi la polis ndivyo vitakuja kufanya wapinzani wafikirie kutafta na wao nguvu za kijeshi!
Hili jeshi ni shida sana! Hapa kuna mechanism inahtajika kujiondoa mikononi utawala dhalimu tulio nao! Hayo yote ni maelekezo ya CCM!Target ni kuwa kamata viongozi wa chadema
Hakuna jeshi tena hapo ni tawi la CCMHili jeshi ni shida sana! Hapa kuna mechanism inahtajika kujiondoa mikononi utawala dhalimu tulio nao! Hayo yote ni maelekezo ya CCM!