IGP Sirro na wenzako kuna la kujifunza kutoka kwenye kisa cha Nelson Mandela

IGP Sirro na wenzako kuna la kujifunza kutoka kwenye kisa cha Nelson Mandela

Mngekuwa mnajua Afri a Kusini hakuna kilichopatikana zaidi ya kuchezewa tu kisaikolojia msingeleta hizi hekaya kwa huyu mla konyagi wenu.

Uhuru wa SA haujapatikana. Kilichopatikana ni kuruhuru Rais mweusi na kupunguza ubaguzi wa rangi.


Ardhi inamilikiwa na wazungu wachache kuliko weusi ambao ndio wengi. Kumbuka ardhi ndio nchi.
Uhuru halali wa Tanzania upo pumbavu????
 
Tatizo la wafuasi wa CHADEMA ni kama mmepewa limbwata na Mbowe. Badala ya kumfananisha Mbowe na Mandela mimi namfananisha na Zuma. Zuma ni fisadi kweli na ushahidi upo. Mwaka jana mwezi wa nane walikamatwa vijana wakijiandaa kufanya ughaidi waliokuwa wakifanya mipango kwenye hoteli ya Mbowe. Baada ya kuminywa pumbu wakamtaja Mbowe na kuonyesha ushahidi usiotiwa shaka. Kutokana na hulka ya JPM kipindi kile wakashauriana wasubiri uchaguzi uishe ili isionekane Mbowe kashikwa sababu ya uchaguzi. Kama mnakumbuka vizuri Mbowe hakushiki popote kwenye kampeni ya Lissu zaidi ya siku ya uzinduzi tu Mbagala Zhakiem. Sababu ni kuwa kuna kesi nzito ilikuwa ikimsubiria na alishatonywa. Baada ya uchaguzi kuisha na matokeo kujulikana haikuchukua muda akakimbia nchi. Magufuli alivyofariki tu Mbowe akaibuka kutoka alipokuwa akisingizia alienda kuwekeza nje baada ya kufungiwa akaunti zake. Raisi Samia alikuwa tayari kusamehe na kuanza upya ili kufungua ukurasa mpya, Ila Mbowe and Co.ltd wakamuona mjinga. Sasa ngoja avune alichopanda. Msipoangalia anaweza kuchezea hata miaka 10 au zaidi jela nyie mkikomalia tararila za katiba mpya. Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
Zuma ni rais mstaafu na Mbowe ni nani?
 
ALIYEJISAIDIA HAJA NDOGO JUU YA KICHWA CHANGU NIKIWA GEREZANI”

Nelson Mandela: “Baada ya kutawazwa kuwa rais niliwaomba Baadhi ya walinzi wangu wa karibu kutembelea mgahawa fulani mjini ili kupata chakula cha mchana.

Tulifika kwenye mgahawa huo baada ya matembezi mafupi na kuagiza chakula”.

“Punde muhudumu akaleta tulivyoagiza, na nikaona mbele yangu yuko mtu mwingine anasubiri alichoagiza. Nikamtuma moja ya mlinzi wangu amuagize mtu yule ajumuike nasi tupate wote chakula cha mchana”.

“Mtu yule bila kusita alifika kwenye meza yangu na chakula chake. Lakini hakuwa na hali nzuri kabisa, kwani mikono yake ilikuwa inatetemeka vibaya sana, alishindwa kunitazama usoni hadi chakula kilipoisha na akaondoka zake”.

Moja wa ya mlinzi akamwambia mandela baada ya mtu yule kuondoka: “Inaonekana mtu yule alikuwa mgonjwa sana, kwani hakuishiwa kutetemeka muda wote amekaa hapa”.

Mandela akajibu: “Hapana, hakuwa mgonjwa hata kidogo”.

“Mtu yule alikuwa bwana jela katika gereza nililokuwa nimefungwa. Katika nyakati ambazo niliteswa kwa kupigwa na kila aina ya kadhia, niliomba msaada wa maji pale nilipopata kiu kikali sana, mtu yule bila huruma alifika na alinikojolea kichwani mwangu”.

“Hofu yake yote ile ni kuona mimi nimekuwa rais wa Afrika ya Kusini, kwamba naweza kumfanya chochote kwa sababu mimi ni Rais. Ila siwezi kumfanya kitu chochote kwa sababu hiyo mimi sio tabia yangu”

“Mara nyingi hulka za kulipiza visasi zinavunja sana mataifa, ila hulka ya uvumilivu na kusamehe, ina jenga umoja na utaifa”.

- NELSON MANDELA.

MY TAKE;
Mnavyo mtendea Freeman Mbowe sasa ipo siku mtajikuta mnatetemeka mbele yake kwa kudhani atawalipa kwa uovu wenu. Nani ajuaye kwamba Freeman hawezi siku moja kuinuliwa na muumba kushika nafasi ya juu kabisa ya uongozi?
OLE WENU WATAWALA WAOVU

View attachment 1881501View attachment 1881510
Mkuu wangu Chakaza..story imenigusa sana hii..

Namuona kabisa Mbowe akiomba maji na Sa-mia na Si-ro wanamkojolea kichwani..!!!

Amini..Amini nawaambia wee Sa-mia na Si-ro kwa hii kesi ya ugaidi mliyombambikia huyu MWANA MWEMA wa MUNGU aitwaye Freeman Mbowe, hamtokuwa salama na amani tena katika maisha yenu yaliyobaki hapa Duniani..

Wee Sa-mia na Si-ro tayari mmeshalaaniwa hapa Duniani na Mbinguni na mtayapata mateso mara elfu zaidi ya haya anayoyapata Mbowe hivi sasa..

Siku hiyo ya mateso makali kwenu Si-ro na Sa-mia yaja..na wala sio muda mrefu toka hivi sasa..na hamtamuona wa kumlililia wala kumjutia huu ubaya wote mliomfanyia Freeman..itakuwa ni mateso mfululizo na ninyi mpaka ahera..

Watawala washenzi na mlaaniwe kabisa nyie.
 
Nyongeza.
Idadi kubwa sana ya polisi wa kizungu waliacha kazi baada ya mzee Mandela kula kiapo. Maana walishindwa kuelewa, waliokuwa wakiwapiga mabomu na virungu sasa ndio wanawatuma na kuwalinda.
Hii kwao ilikuwa fesheha kubwa wakamua kukaa pembeni.
 
Magaidi yana umoja mno .

Anayeangushwa na konyagi alafu akasingizia amepigwa na wasiojulikana ni gaidi tu.
 
kuna mtu alianza maandalizi ya kutawala milele Mungu akatutendea muujiza, kama alivyo tutendea mwanzo atatenda tena, Mungu wetu ni Mungu wa tena na tena
 
Acha ujinga ndugu,
Usimfananishe Nelson Mandela (madiba)
Na vitu vya kijinga.
Kuvaa kofia Kama za akina Che Guevara na Castro .hakukufanyi uwe Kama wao.
Pathetic comparison,go and read again and again
Ila kofia hizo akivaa Mwigulu,mambo safiiiii
 
Huna akili
Yale yale umeshakua kiumbe mwenye hasira na visasi na hauna tofauti na mzulu wa pale Durban anayeishi kwenye zile hostel,siwezi jibishana nawe maana umeshaambukizwa na maamuzi yaliyojaa hasira.
 
ALIYEJISAIDIA HAJA NDOGO JUU YA KICHWA CHANGU NIKIWA GEREZANI”

Nelson Mandela: “Baada ya kutawazwa kuwa rais niliwaomba Baadhi ya walinzi wangu wa karibu kutembelea mgahawa fulani mjini ili kupata chakula cha mchana.

Tulifika kwenye mgahawa huo baada ya matembezi mafupi na kuagiza chakula”.

“Punde muhudumu akaleta tulivyoagiza, na nikaona mbele yangu yuko mtu mwingine anasubiri alichoagiza. Nikamtuma moja ya mlinzi wangu amuagize mtu yule ajumuike nasi tupate wote chakula cha mchana”.

“Mtu yule bila kusita alifika kwenye meza yangu na chakula chake. Lakini hakuwa na hali nzuri kabisa, kwani mikono yake ilikuwa inatetemeka vibaya sana, alishindwa kunitazama usoni hadi chakula kilipoisha na akaondoka zake”.

Moja wa ya mlinzi akamwambia mandela baada ya mtu yule kuondoka: “Inaonekana mtu yule alikuwa mgonjwa sana, kwani hakuishiwa kutetemeka muda wote amekaa hapa”.

Mandela akajibu: “Hapana, hakuwa mgonjwa hata kidogo”.

“Mtu yule alikuwa bwana jela katika gereza nililokuwa nimefungwa. Katika nyakati ambazo niliteswa kwa kupigwa na kila aina ya kadhia, niliomba msaada wa maji pale nilipopata kiu kikali sana, mtu yule bila huruma alifika na alinikojolea kichwani mwangu”.

“Hofu yake yote ile ni kuona mimi nimekuwa rais wa Afrika ya Kusini, kwamba naweza kumfanya chochote kwa sababu mimi ni Rais. Ila siwezi kumfanya kitu chochote kwa sababu hiyo mimi sio tabia yangu”

“Mara nyingi hulka za kulipiza visasi zinavunja sana mataifa, ila hulka ya uvumilivu na kusamehe, ina jenga umoja na utaifa”.

- NELSON MANDELA.

MY TAKE;
Mnavyo mtendea Freeman Mbowe sasa ipo siku mtajikuta mnatetemeka mbele yake kwa kudhani atawalipa kwa uovu wenu. Nani ajuaye kwamba Freeman hawezi siku moja kuinuliwa na muumba kushika nafasi ya juu kabisa ya uongozi?
OLE WENU WATAWALA WAOVU

View attachment 1881501View attachment 1881510
Hawa wajinga wa Tz hawajifunzi kirahisi.
 
Mngekuwa mnajua Afri a Kusini hakuna kilichopatikana zaidi ya kuchezewa tu kisaikolojia msingeleta hizi hekaya kwa huyu mla konyagi wenu.

Uhuru wa SA haujapatikana. Kilichopatikana ni kuruhuru Rais mweusi na kupunguza ubaguzi wa rangi.


Ardhi inamilikiwa na wazungu wachache kuliko weusi ambao ndio wengi. Kumbuka ardhi ndio nchi.
Zimbabwe ardhi wamerejeshewa wazawa
 
Sio kweli kabisa,nchi hiyo (SA)inaharibiwa na black people's na hiyo ardhi unayoisema ingia website ya serikali uone mgawanyo wa ardhi,usituletee UONGO hapa ni sumu kubwa mno.
Mwafrika hata umpe KILA kitu still atoweza
 
Nyongeza.
Idadi kubwa sana ya polisi wa kizungu waliacha kazi baada ya mzee Mandela kula kiapo. Maana walishindwa kuelewa, waliokuwa wakiwapiga mabomu na virungu sasa ndio wanawatuma na kuwalinda.
Hii kwao ilikuwa fesheha kubwa wakamua kukaa pembeni.
Kwa tabia zile za wazulu awakustahili kupewa UHURU ni salama zaidi kwao kutawaliwa
 
Mfano huo ni SAwa na mwajiriwa anapohaidiwa na ccm baada ya kustaafu atapewa ubunge ni lzm atahakikisha anawashughulikia wapinzani hasa Ili bidii yake ithibitike hata wakati ukifika baada ya kustaafu apewe ahadi yake.Viongozi wengi huwa hawana ujanja wa kuishi nje ya mshahara,posho,na maslai mengine,wanapovikosa hivi ufa mapema, wengi wao ukimbilia kwenye ubunge,sasa kama aliwashughulikia wapinzani akiwa mwajiriwa usitegemee ccm itamtupa.
 
Unaonekana unaisemea sana ccm lakini umejawa na matusi ya kipumbavu ambayo mtu mwenye akili hawezi kuyatoa kwenye baraza kama hili.
Utadhani umezaliwa na kukulia jalalani?
Wewe umezaliwa na kukulia kwenye makengeza ya Mbowe.
 
Back
Top Bottom