Wanakemea wanaotaka kuanzisha vyama na wapinga chanjoUV CCM wazee wa kusubiri vya bure wanasemaje?
Asa mbona aligombea 2005?au mgombea anaruhusiwa kuwa na elimu yoyote?Unafahamu katiba inasemaje kuhusu minimum qualification kwa upande wa elimu?
Ukipitiapitia ya Mh Mandela wa Afrika kusini, Mh Hakainde Hichilema wa Zambia na ukifuatilia historia tangu enzi za mfalme Jumong ni dhahili shahili Mbowe anaenda kuwa president of Tanzania
InasemajeUnafahamu katiba inasemaje kuhusu minimum qualification kwa upande wa elimu?
Utakua na tatizo la kuchelewa kufikiri 😀😀Angalia vizuri kichwa chako usikute ni boga.
Unafahamu katiba inasemaje kuhusu minimum qualification kwa upande wa elimu?
Mwingine huwa anakataa majibu ya dakitari kinachofuatia
Ukipitiapitia ya Mh Mandela wa Afrika kusini, Mh Hakainde Hichilema wa Zambia na ukifuatilia historia tangu enzi za mfalme Jumong ni dhahili shahili Mbowe anaenda kuwa president of Tanzania
Mbowe 2005 aliwezaje kugombea bila kuwa na hizo minimum qualification ?Unafahamu katiba inasemaje kuhusu minimum qualification kwa upande wa elimu?