IGP Sirro na wenzako kuna la kujifunza kutoka kwenye kisa cha Nelson Mandela

IGP Sirro na wenzako kuna la kujifunza kutoka kwenye kisa cha Nelson Mandela

Ukipitiapitia ya Mh Mandela wa Afrika kusini, Mh Hakainde Hichilema wa Zambia na ukifuatilia historia tangu enzi za mfalme Jumong ni dhahili shahili Mbowe anaenda kuwa president of Tanzania
Lissu wa Ubelgiji atakubali?
 
Hebu acheni kuwaza upumbavu jamani, yani huyu mlevi wenu ndio awe Rais
 
Ukipitiapitia ya Mh Mandela wa Afrika kusini, Mh Hakainde Hichilema wa Zambia na ukifuatilia historia tangu enzi za mfalme Jumong ni dhahili shahili Mbowe anaenda kuwa president of Tanzania
Bangi haijawahi kumuacha Salama Mtumiaji hasa Ubongoni mwake.
 
Ukipitiapitia ya Mh Mandela wa Afrika kusini, Mh Hakainde Hichilema wa Zambia na ukifuatilia historia tangu enzi za mfalme Jumong ni dhahili shahili Mbowe anaenda kuwa president of Tanzania
Kwa kawaida, mwanadamu kwa asili yake, hupendelea kusimama na anayeonewa.

Wapinzani Tanzania wanaonewa sana kwa mambo mengi, ndiyo maana kwa uchaguzi huru kabisa, ukigombea kupitia upinzani hapa Tanzania, hata kama huna sifa, wananchi watakuchagua. Ni asili ya mwanadamu kumchukia anayedhulumu.

Kwa asili yake, mwanadamu anapenda haki, lakini uchafu mwingine kama vile tamaa ya utajiri, madaraka, unafiki, uwendawazimu na chuki, mwanadamu muda mwingine hugeukia kupenda uovu, ndiyo maana hapa nchini wapo watu, hata kama si wengi sana, mpaka leo, wanaipenda CCM na kufurahia uovu unaofanywa na CCM dhidi ya watu wasio na hatia. Lakini hilo hutokea pale watu hao ambao unawaona wanashabikia, roho zao zinapokuwa zimeingiwa na ibilisi. Wakishabeba roho za ibilisi, furaha yao huwa ni uovu maana ndiyo asili ya shetani.
 
Ikitokea kweli tutashuhudia anguko kubwa itabidi alazimike aunde katiba mpya ambayo itamuondolea mamlaka mengi,pia kutakuwa na Serikali tatu Demokrasia ya kupingana na kutukanana itaboreshwa wakati anahimiza watu wajenge uchumi wa nchi wengine watakuwa wanaandamana.

Nchi nyingi zilijaribu kuweka vyama vya upinzani wakiaminishwa kuwa na maisha Bora zaidi kumbe majanga tu sisi KWETU ni somo tosha.

Lakini pia chama tawala kikiachiwa huru kinabweteka na kusahau majukumu yake lazima tubuni mbinu mpya ya KIHAKIKISHA Yale yayomo kwenye Sheria zetu yanafuatwa kwa haki.
 
Ukipitiapitia ya Mh Mandela wa Afrika kusini, Mh Hakainde Hichilema wa Zambia na ukifuatilia historia tangu enzi za mfalme Jumong ni dhahili shahili Mbowe anaenda kuwa president of Tanzania
Hahaaa nyumbu aisee kwa ndo za mchana nyuma ya keyboard hawajambo.
 
Ukipitiapitia ya Mh Mandela wa Afrika kusini, Mh Hakainde Hichilema wa Zambia na ukifuatilia historia tangu enzi za mfalme Jumong ni dhahili shahili Mbowe anaenda kuwa president of Tanzania
Neno hili likawe manukato
 
NIWAAMBIE TU WATZ!!CCM ITAONDOLEWA MADARAKANI NA RAISI WA CCM KWA KUCHOKA KUMWAGA DAMU ZA WATU KWA AJILI YA MADARAKA!!NA ATARUHUSU UPINZANI USHINDE URAISI!!WANA CCM HAWATOAMINI HATA KIDOGO!!!!Naamini mimi ndiyo ntaruhusu mshindi halali atangazwe kuwa mshindi siku nikishika hatamu!!!
 
Nani wewe mwigulu au?
 
Ukipitiapitia ya Mh Mandela wa Afrika kusini, Mh Hakainde Hichilema wa Zambia na ukifuatilia historia tangu enzi za mfalme Jumong ni dhahili shahili Mbowe anaenda kuwa president of Tanzania
Mbowe ni Gandhi! Ila yuko kundi lile ambalo Raisi Mkapa aliowaita wapumbavu! - Eti wanataka kuipata Tanzania uhuru!
 
Shida ya Nyumbu wanatabia ya kujifariji kupitia chaguzi za nchi nyingine,Mandela akuongoza mabwege,wakati akiwa jela mtaani moto unawaka.
 
ALIYEJISAIDIA HAJA NDOGO JUU YA KICHWA CHANGU NIKIWA GEREZANI”

Nelson Mandela: “Baada ya kutawazwa kuwa rais niliwaomba Baadhi ya walinzi wangu wa karibu kutembelea mgahawa fulani mjini ili kupata chakula cha mchana.

Tulifika kwenye mgahawa huo baada ya matembezi mafupi na kuagiza chakula”.

“Punde muhudumu akaleta tulivyoagiza, na nikaona mbele yangu yuko mtu mwingine anasubiri alichoagiza. Nikamtuma moja ya mlinzi wangu amuagize mtu yule ajumuike nasi tupate wote chakula cha mchana”.

“Mtu yule bila kusita alifika kwenye meza yangu na chakula chake. Lakini hakuwa na hali nzuri kabisa, kwani mikono yake ilikuwa inatetemeka vibaya sana, alishindwa kunitazama usoni hadi chakula kilipoisha na akaondoka zake”.

Moja wa ya mlinzi akamwambia mandela baada ya mtu yule kuondoka: “Inaonekana mtu yule alikuwa mgonjwa sana, kwani hakuishiwa kutetemeka muda wote amekaa hapa”.

Mandela akajibu: “Hapana, hakuwa mgonjwa hata kidogo”.

“Mtu yule alikuwa bwana jela katika gereza nililokuwa nimefungwa. Katika nyakati ambazo niliteswa kwa kupigwa na kila aina ya kadhia, niliomba msaada wa maji pale nilipopata kiu kikali sana, mtu yule bila huruma alifika na alinikojolea kichwani mwangu”.

“Hofu yake yote ile ni kuona mimi nimekuwa rais wa Afrika ya Kusini, kwamba naweza kumfanya chochote kwa sababu mimi ni Rais. Ila siwezi kumfanya kitu chochote kwa sababu hiyo mimi sio tabia yangu”

“Mara nyingi hulka za kulipiza visasi zinavunja sana mataifa, ila hulka ya uvumilivu na kusamehe, ina jenga umoja na utaifa”.

- NELSON MANDELA.

MY TAKE;
Mnavyo mtendea Freeman Mbowe sasa ipo siku mtajikuta mnatetemeka mbele yake kwa kudhani atawalipa kwa uovu wenu. Nani ajuaye kwamba Freeman hawezi siku moja kuinuliwa na muumba kushika nafasi ya juu kabisa ya uongozi?
OLE WENU WATAWALA WAOVU

View attachment 1881501View attachment 1881510
Respect to Mbowe and his political journey

Lakini kumlinganisha na Mandela ni insult Kwa Mandela
 
Siro aliingia akiwa mwenye weledi wa kazi sana, anamaliza akiwa mtu wa mihemko na pasipo na legacy yoyote kama IGP
 
Back
Top Bottom