IGP Sirro: Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu

-%20KumbukiziMTAFUTANO.jpg
 
Huyo IGP anamtukana Rais Samia kireja reja hamuheshimu kabisa Mheshimiwa Samia,sasa ni muda muafaka wa kumfurusha bila hivyo atamchezea sana.
 
Andersom Ndambo:
Sasa unaweza kuona hatari na hila iliyojificha kwenye wito wa kumuombea Freeman Mbowe Msamaha! Ni vile tu mpango huo ulibuma kutokana na sauti kubwa zenye nguvu kupinga mpango huo haramu.

Kuna viongozi wanaojiita wapinzani, lkn nafsi zao ni nusu ya MASHETANI. Wanatumia vipaji na majukwaa Yao ya kisiasa kughilibu Haki za wengine, kujinufaisha, na kuisaidia ccm kutawala. Wanajificha kwenye Nia njema Huku matendo Yao ni uhalifu mtupu.

Kama hoja ya kumuombea Msamaha ingekubalika maana yake ni kwamba, Hon Freeman Mbowe atahesabika mbele za Jamii na kwenye vyombo vya usalama kwamba alifanya matendo ya ki-Gaidi na hivyo kupelekea, kuondoa kabisa Ushawishi wake kwenye Jamii kwasababu ya kuchafuka au ingeweza kutumika kama propoganda Dhidi yake na washindani wake kisiasa na hivyo kumpunguzia nguvu ya ushawishi wa umma pamoja na Imani kubwa aliojijengea mbele za umma wa Tanzania na Kwenye Jamii za Kimataifa, na huo ndio ungekuwa mwanzo wa anguko la Upinzani.

Na wale mawakala wa ccm wangejipatia umaarufu, na huruma ya Umma kwa kulinganisha madhambi Yao ya usaliti na madhambi ya Ugaidi na hivyo kujiweka kwenye mizani sawa mbele za umma na hivyo kuwafanya watu wasioamini katika uwakala wa ccm, kukosa pahala pa kwenda na wale wenye mioyo dhaifu kujikuta wakiangukia mikononi mwa Hawa vibaraka wa ccm kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

Kwa utamaduni wa Utawala wa sheria nchini! Rais anaweza kutoa msahama kwa baadhi ya wafungwa kwa mujibu wa sheria. Lkn hawezi kutoa msamaha kwa mtu ambae hajathibitishwa na Mahakama kwamba ana hatia. Kufanya hivyo ni kuvunja na kubomoa Utawala wa sheria na kuhalalisha tuhuma za mtuhumiwa kitu ambacho ni hatari zaidi.

Ni ushetani tu kudhani wale wanaotoa wito wa kumuombea Msamaha Mbowe Wana Nia njema. Nyuma Yao kuna uovu mkubwa sana na hizi kauli za IGP ndio kipimo chake baada ya wito huo kushindwa na Sasa wanadhani wanaweza kuhalalisha haramu kwa nguvu.
#MbowesioGaidi

A. Ndambo
Alaaniwe kishoka Zitto Kabwe na wale anaowatumikia
 
Sirro ameshakuwa mwanasiasa bora astaafu tu, au astaafishwe ili asiendelee kuleta aibu kwenye fani yake.

Alishastaafu huyo na uteuzi tayari, usishtuke siku ukitangaziwa kuwa uteuzi ulianza kazi tokea siku kabla ya kutangazwa.

Anasubiriwa akamilishe jambo moja muhimu kabla hajafurushwa.
 
Huyu bwana aliingia ktk hii nafasi akiwa mwenye maadili na heshima kubwa sana, sasa anaondoka mwili wote umetapakaa "oil"
Kabla ya kufika hapa Makonda alimweka mbele kwenye mambo yake mengi hadi haikuwashangazi baadhi ya watu alipopandishwa cheo.
 
Kutokana na kauli hii , Bwana IGP anamzungumzia mtawala gani wa nchi ambaye ni Gaidi au Jambazi??
IMG_20220211_182050.jpg
 
Mi nadhani siku moja magaidi wa kweli watubip pale bungeni au kisutu au ubungo ili tuelewe maana halisi ya ugaidi.
 
Andersom Ndambo:
Sasa unaweza kuona hatari na hila iliyojificha kwenye wito wa kumuombea Freeman Mbowe Msamaha! Ni vile tu mpango huo ulibuma kutokana na sauti kubwa zenye nguvu kupinga mpango huo haramu.

Kuna viongozi wanaojiita wapinzani, lkn nafsi zao ni nusu ya MASHETANI. Wanatumia vipaji na majukwaa Yao ya kisiasa kughilibu Haki za wengine, kujinufaisha, na kuisaidia ccm kutawala. Wanajificha kwenye Nia njema Huku matendo Yao ni uhalifu mtupu.

Kama hoja ya kumuombea Msamaha ingekubalika maana yake ni kwamba, Hon Freeman Mbowe atahesabika mbele za Jamii na kwenye vyombo vya usalama kwamba alifanya matendo ya ki-Gaidi na hivyo kupelekea, kuondoa kabisa Ushawishi wake kwenye Jamii kwasababu ya kuchafuka au ingeweza kutumika kama propoganda Dhidi yake na washindani wake kisiasa na hivyo kumpunguzia nguvu ya ushawishi wa umma pamoja na Imani kubwa aliojijengea mbele za umma wa Tanzania na Kwenye Jamii za Kimataifa, na huo ndio ungekuwa mwanzo wa anguko la Upinzani.

Na wale mawakala wa ccm wangejipatia umaarufu, na huruma ya Umma kwa kulinganisha madhambi Yao ya usaliti na madhambi ya Ugaidi na hivyo kujiweka kwenye mizani sawa mbele za umma na hivyo kuwafanya watu wasioamini katika uwakala wa ccm, kukosa pahala pa kwenda na wale wenye mioyo dhaifu kujikuta wakiangukia mikononi mwa Hawa vibaraka wa ccm kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

Kwa utamaduni wa Utawala wa sheria nchini! Rais anaweza kutoa msahama kwa baadhi ya wafungwa kwa mujibu wa sheria. Lkn hawezi kutoa msamaha kwa mtu ambae hajathibitishwa na Mahakama kwamba ana hatia. Kufanya hivyo ni kuvunja na kubomoa Utawala wa sheria na kuhalalisha tuhuma za mtuhumiwa kitu ambacho ni hatari zaidi.

Ni ushetani tu kudhani wale wanaotoa wito wa kumuombea Msamaha Mbowe Wana Nia njema. Nyuma Yao kuna uovu mkubwa sana na hizi kauli za IGP ndio kipimo chake baada ya wito huo kushindwa na Sasa wanadhani wanaweza kuhalalisha haramu kwa nguvu.
#MbowesioGaidi

A. Ndambo
Mbowe sio gaidi
 
Leta clip nzima ,,au press conference ,,tusichukue maneno out of context,,hizi cherry picking kwa ajili ya point za kisiasa zimepitwa na wakati
 
Fungus hiyo video akimaliza Masauni kuongea Siro utamsikia
 
Hili ndilo jibu kwa Paul Kagame huko Kagera?? Najaribu kuunganisha Dots
Just forget. Hakuna kitu humo. Ni aibu tupu. Sirro anajaribu kuficha biashara zake [haramu] za dhahabu (mgodi uko shy, duka liko Dar
 
Back
Top Bottom