MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hapa Sirro alikuwa anaongelea majambazi kufanya uhalifu na kuonekana kama vile wao ndio wanatawala nchi na si vinginevyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vitu anavifanya ambavyo vinamfurahisha. Mfano nilishangaa kumuamini au kuamini maneno ya Siro kuwa kuna washiriki wengine wa ugaidi waliokuwa na Mbowe, ambao tayari wameshahukumiwa na kufungwa jela.Samia anangojea nini kumuondoa Sirro? Mtangulizi wake alivyoona ujambazi na wizi wa magari umekithiri na polisi walikuwa wanahusika na syndicate hizo hakusita kumuwajibisha IGP Mahita kwa kumuondoa!! Sasa Samia anataka ushahidi gani zaidi kuonesha kuwa Sirro ameshindwa kuliongoza jeshi la polisi mpaka limegeuka kuwa Jeshi la wahalifu siku hizi?
Ndiyo alitaka kuwa padri huyo ibilisi
Uhakika ni kwamba SIRRO ATAKIMBIA NCHI baada ya muda mfupi sana ujao
Siro na Ndugai hawana tofauti.
Huyu bwana aliingia ktk hii nafasi akiwa mwenye maadili na heshima kubwa sana, sasa anaondoka mwili wote umetapakaa "oil"
Ni ushetani tu kudhani wale wanaotoa wito wa kumuombea Msamaha Mbowe Wana Nia njema. Nyuma Yao kuna uovu mkubwa sana na hizi kauli za IGP ndio kipimo chake baada ya wito huo kushindwa na Sasa wanadhani wanaweza kuhalalisha haramu kwa nguvu.Andersom Ndambo:
Sasa unaweza kuona hatari na hila iliyojificha kwenye wito wa kumuombea Freeman Mbowe Msamaha! Ni vile tu mpango huo ulibuma kutokana na sauti kubwa zenye nguvu kupinga mpango huo haramu.
Kuna viongozi wanaojiita wapinzani, lkn nafsi zao ni nusu ya MASHETANI. Wanatumia vipaji na majukwaa Yao ya kisiasa kughilibu Haki za wengine, kujinufaisha, na kuisaidia ccm kutawala. Wanajificha kwenye Nia njema Huku matendo Yao ni uhalifu mtupu.
Kama hoja ya kumuombea Msamaha ingekubalika maana yake ni kwamba, Hon Freeman Mbowe atahesabika mbele za Jamii na kwenye vyombo vya usalama kwamba alifanya matendo ya ki-Gaidi na hivyo kupelekea, kuondoa kabisa Ushawishi wake kwenye Jamii kwasababu ya kuchafuka au ingeweza kutumika kama propoganda Dhidi yake na washindani wake kisiasa na hivyo kumpunguzia nguvu ya ushawishi wa umma pamoja na Imani kubwa aliojijengea mbele za umma wa Tanzania na Kwenye Jamii za Kimataifa, na huo ndio ungekuwa mwanzo wa anguko la Upinzani.
Na wale mawakala wa ccm wangejipatia umaarufu, na huruma ya Umma kwa kulinganisha madhambi Yao ya usaliti na madhambi ya Ugaidi na hivyo kujiweka kwenye mizani sawa mbele za umma na hivyo kuwafanya watu wasioamini katika uwakala wa ccm, kukosa pahala pa kwenda na wale wenye mioyo dhaifu kujikuta wakiangukia mikononi mwa Hawa vibaraka wa ccm kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.
Kwa utamaduni wa Utawala wa sheria nchini! Rais anaweza kutoa msahama kwa baadhi ya wafungwa kwa mujibu wa sheria. Lkn hawezi kutoa msamaha kwa mtu ambae hajathibitishwa na Mahakama kwamba ana hatia. Kufanya hivyo ni kuvunja na kubomoa Utawala wa sheria na kuhalalisha tuhuma za mtuhumiwa kitu ambacho ni hatari zaidi.
Ni ushetani tu kudhani wale wanaotoa wito wa kumuombea Msamaha Mbowe Wana Nia njema. Nyuma Yao kuna uovu mkubwa sana na hizi kauli za IGP ndio kipimo chake baada ya wito huo kushindwa na Sasa wanadhani wanaweza kuhalalisha haramu kwa nguvu.
#MbowesioGaidi
A. Ndambo
Eti ndio wateule wa ikulu hao. Mtu hata chembe ya busara haionekani kichwani. Wanafikiri kutaja ugaidi ni sifa kwa taifa.
My Take 1
Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi.
My Take 2
Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki
======
Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia watanzania na hasa kwenye masuala mazima ya makosa haya ya kutumia silaha na hasa makosa haya ya kutumia nguvu.
Huwa nawaambia siku zote, sisi tunafanya mafunzo ya promotion lakini mafunzo mengine ya utayari. Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu.
Wanasema ni aibu sana gaidi kutawala nchi yetu, kwahiyo mheshimiwa waziri kwa kifupi ni kwamba tuko vizuri sana na nipeleke kwa ambao ni wachache bado wana tabu ile, nishawaambia kwamba biashara ya unyang'anyi kwa kutumia silaha, nguvu ilishapitwa na wakati.
Kweli atakimbia baada ya tundu kuwa Rais.Uhakika ni kwamba SIRRO ATAKIMBIA NCHI baada ya muda mfupi sana ujao
eeh kumbe?Just forget. Hakuna kitu humo. Ni aibu tupu. Sirro anajaribu kuficha biashara zake [haramu] za dhahabu (mgodi uko shy, duka liko Dar
Ili uonekane wewe ni Mwanajeshi mwenye nguvu ni lazima uzungumzie UgaidiEti ndio wateule wa ikulu hao. Mtu hata chembe ya busara haionekani kichwani. Wanafikiri kutaja ugaidi ni sifa kwa taifa.
Hilo gaidi ni zinifu sana, yaani likitoka jela ni kutia mimba tuu.Na akichomoka lazima akutie mimba nyingine
Hii nchi ni ya ajabu sana, inakuwaje watu wenye iq ndogo sana wanapata madaraka makubwa?
Wakati yeye ndiye mkuu wa majambazi ya polisi yanayoua kwa sumu
My Take 1
Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi.
My Take 2
Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki
======
Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia watanzania na hasa kwenye masuala mazima ya makosa haya ya kutumia silaha na hasa makosa haya ya kutumia nguvu.
Huwa nawaambia siku zote, sisi tunafanya mafunzo ya promotion lakini mafunzo mengine ya utayari. Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu.
Wanasema ni aibu sana gaidi kutawala nchi yetu, kwahiyo mheshimiwa waziri kwa kifupi ni kwamba tuko vizuri sana na nipeleke kwa ambao ni wachache bado wana tabu ile, nishawaambia kwamba biashara ya unyang'anyi kwa kutumia silaha, nguvu ilishapitwa na wakati.
Wanawekana kwa maslahi yao!! Wanatoana hukooo majalalani na kupeana nafasi kabla ya kufikiria maslahi ya nchi.Hii nchi ni ya ajabu sana, inakuwaje watu wenye iq ndogo sana wanapata madaraka makubwa?
Kasema ni aibu nchi kutawaliwa na jambazi na gaidi.Kwahiyo rais aliyepo ni jambazi na gaidi? Kama sivyo ni nani aliyetawala akiwa jambazi na gadi?
Sio oil mzee, kajipaka nnya kabisaHuyu bwana aliingia ktk hii nafasi akiwa mwenye maadili na heshima kubwa sana, sasa anaondoka mwili wote umetapakaa "oil"