IGP Sirro: Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu

Huyo IGP anamtukana Rais Samia kireja reja hamuheshimu kabisa Mheshimiwa Samia,sasa ni muda muafaka wa kumfurusha bila hivyo atamchezea sana.
 
Alaaniwe kishoka Zitto Kabwe na wale anaowatumikia
 
Sirro ameshakuwa mwanasiasa bora astaafu tu, au astaafishwe ili asiendelee kuleta aibu kwenye fani yake.

Alishastaafu huyo na uteuzi tayari, usishtuke siku ukitangaziwa kuwa uteuzi ulianza kazi tokea siku kabla ya kutangazwa.

Anasubiriwa akamilishe jambo moja muhimu kabla hajafurushwa.
 
Huyu bwana aliingia ktk hii nafasi akiwa mwenye maadili na heshima kubwa sana, sasa anaondoka mwili wote umetapakaa "oil"
Kabla ya kufika hapa Makonda alimweka mbele kwenye mambo yake mengi hadi haikuwashangazi baadhi ya watu alipopandishwa cheo.
 
Kutokana na kauli hii , Bwana IGP anamzungumzia mtawala gani wa nchi ambaye ni Gaidi au Jambazi??
 
Mi nadhani siku moja magaidi wa kweli watubip pale bungeni au kisutu au ubungo ili tuelewe maana halisi ya ugaidi.
 
Mbowe sio gaidi
 
Leta clip nzima ,,au press conference ,,tusichukue maneno out of context,,hizi cherry picking kwa ajili ya point za kisiasa zimepitwa na wakati
 
Leta clip nzima ,,au press conference ,,tusichukue maneno out of context,,hizi cherry picking kwa ajili ya point za kisiasa zimepitwa na wakati
Fungus hiyo video akimaliza Masauni kuongea Siro utamsikia
 
Hili ndilo jibu kwa Paul Kagame huko Kagera?? Najaribu kuunganisha Dots
Just forget. Hakuna kitu humo. Ni aibu tupu. Sirro anajaribu kuficha biashara zake [haramu] za dhahabu (mgodi uko shy, duka liko Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…