IGP Sirro: Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu

Hapa Sirro alikuwa anaongelea majambazi kufanya uhalifu na kuonekana kama vile wao ndio wanatawala nchi na si vinginevyo
 
Tanzania tuna IGP mwenye kichwa kibovu haijawahi kutokea , sijui kwa nini rais hajampigiga chini mpaka sasa
 
Kila mtu anajua Polisi Tz ndio genge kuu la ujambazi. Ni ngumu sana kuwatofautisha majambazi wa tz, CCM na Polisi wa Tz. Ni watu wale wale.
 
Samia anangojea nini kumuondoa Sirro? Mtangulizi wake alivyoona ujambazi na wizi wa magari umekithiri na polisi walikuwa wanahusika na syndicate hizo hakusita kumuwajibisha IGP Mahita kwa kumuondoa!! Sasa Samia anataka ushahidi gani zaidi kuonesha kuwa Sirro ameshindwa kuliongoza jeshi la polisi mpaka limegeuka kuwa Jeshi la wahalifu siku hizi?
 
Kuna vitu anavifanya ambavyo vinamfurahisha. Mfano nilishangaa kumuamini au kuamini maneno ya Siro kuwa kuna washiriki wengine wa ugaidi waliokuwa na Mbowe, ambao tayari wameshahukumiwa na kufungwa jela.

Na Siro keshamjulia ndiyo maana akatamka haya maneno wakati ambapo kila mtu alitegemea uwajibishwaji wa matendo yanayoendelea nchini kutoka kwa polisi. Wengine walitarajia kuwa angejiuzulu. Lakini anakuja na gia za kusahaulisha matendo ya kiovu kwa kuwatukana wanasiasa wa upinzani, kuwapiga vijembe nk.

Mfumo mchafu sana huu nchini mwetu.
 
Ndiyo alitaka kuwa padri huyo ibilisi
Uhakika ni kwamba SIRRO ATAKIMBIA NCHI baada ya muda mfupi sana ujao
Siro na Ndugai hawana tofauti.
Huyu bwana aliingia ktk hii nafasi akiwa mwenye maadili na heshima kubwa sana, sasa anaondoka mwili wote umetapakaa "oil"

Kama PGO yao tu inawashinda; Sidhani kama Sirro na polisi wake wanaelewa utofauti uliopo kati ya uhalifu, ujambazi na ugaidi!
Haya maneno IGP Sirro na polisi wanayatumia kama vile ni neno moja lenye maana ile ile.
 
Ni ushetani tu kudhani wale wanaotoa wito wa kumuombea Msamaha Mbowe Wana Nia njema. Nyuma Yao kuna uovu mkubwa sana na hizi kauli za IGP ndio kipimo chake baada ya wito huo kushindwa na Sasa wanadhani wanaweza kuhalalisha haramu kwa nguvu.
#MbowesioGaidi
 
Eti ndio wateule wa ikulu hao. Mtu hata chembe ya busara haionekani kichwani. Wanafikiri kutaja ugaidi ni sifa kwa taifa.
 
Hii nchi ni ya ajabu sana, inakuwaje watu wenye iq ndogo sana wanapata madaraka makubwa?

Kweli kabisa, sababu hasa ni watu wenye IQ kubwa kutopenda kujiingiza kwenye madaraka maana wanahofia kuchafuliwa, hivyo wenye akili ndogo ndio wenye uthubutu hatimaye wanageuka kuwa viongozi wetu.
 
Wakati yeye ndiye mkuu wa majambazi ya polisi yanayoua kwa sumu
 
Kwahiyo rais aliyepo ni jambazi na gaidi? Kama sivyo ni nani aliyetawala akiwa jambazi na gadi?
 
Hii nchi ni ya ajabu sana, inakuwaje watu wenye iq ndogo sana wanapata madaraka makubwa?
Wanawekana kwa maslahi yao!! Wanatoana hukooo majalalani na kupeana nafasi kabla ya kufikiria maslahi ya nchi.
 
Kwahiyo rais aliyepo ni jambazi na gaidi? Kama sivyo ni nani aliyetawala akiwa jambazi na gadi?
Kasema ni aibu nchi kutawaliwa na jambazi na gaidi.
Hapa afafanue ni jambazi na gaidi gani anayetawala nchi Hadi iwe aibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…