IGP Sirro: Nimeumia sana kuwasikia Wanafunzi wakiniambia hawajaenda shule kwa sababu wanaogopa kuuawa na Wamasai hapa Kilindi

IGP Sirro: Nimeumia sana kuwasikia Wanafunzi wakiniambia hawajaenda shule kwa sababu wanaogopa kuuawa na Wamasai hapa Kilindi

Roho mbaya


Uchoyo uchoyo Tu. Sisi wanatuita waswahili Ila wanawake zetu wanawachukua. Wao wanawake wao hawataki waguswe na waswahili yeerooo!

Ila ukienda shamba UKAWA unabutua risasi za kujihami, hawakatizi kamwe!

Na huwa wanawaonea wenyeji, wakiona jamaa ni mgeni, hueleweki.

Wakulima huwa wanakosea Sana kuitana na rafiki. Hao ni kuwaita wanafiki!

Kuna kijiji kimoja Mvumi ya Kilosa. Huko hakuna mmaasai anaruhusiwa hata mwanamke kwenda Kusaga unga mashine. Walishawapiga stop! Labda wawe wamebadilika miaka miwili mitatu hii sijalima huko!
 
IGP Sirro ameahidi kupeleka kikosi maalumu cha askari kutoka Tanga mjini na Morogoro ili wakaimarishe ulinzi wilayani hapo na askari waliokaa Kilindi kwa muda mrefu ameahidi kuondoka nao.
Unafiki mwingine ni kujitafutia laana, source ya vifo ingekuwa ni askari wake, angekaa kimya kama yale ya Mtwara yalivyo! Mungu atakupa malipo hapahapa Duniani na unafiki wako Siro!!
 
Masai anaamini kuwa majani huota yenyewe na kwamba ni halali yake.

Lakini ukweli ni kwamba mkulima asipolima, majani hayaoti. Ukienda maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya malisho hayafai kwa sanabu hayalimwi na hivyo basi hakuna malisho.

Hili linafanya Masai amfuate mkulima karibu ili apate malisho na hatimaye vita.

Nimewahi kuwa mkulima Kiteto. Wamasai walikuwa wanaleta mifugo na kupiga kambi kuzunguka shamba. Usiku wa manani wanaingiza mifugo shambani. Kwa hiyo ilikuwa inatubidi kuamka kupambana maana hatukuwa tunaruhusu mifugo shambani kuwe au kusiwe na mazao.

Mifugo wanaharibu sana shamba linakosa rutuba.

Kwa hiyo kichwa ngumu ni wafugaji ambao huwafata wakulima


Jamii primitive isiyotaka kubadilika. Wanakera sana. Naelewa ulichoandika.
 
Wafugaji wafuge kisasa.
Sasa una mifuko malisho unategemea kwa mwenzio.?
Na hapo ndipo penye tatizo kubwa, kwenye miaka ya 2000 mwanzoni hadi 2004 nilifanya kazi kwenye taasisi moja ambayo inaangukia wizara ya kilimo na ufugaji kwa wakati ule.

Katika tembea yangu nilikuwa nakwenda Kilosa mara kwa mara huko vijijini, nilishangaa sana kukuta mfugaji anamiliki ng'ombe 15000 wa kienyeji , na ndama kama 4000 hivi, wafugaji wakawaida walikuwa wana miliki ng'ombe 1000 hadi 4000.

Lakini tija ilikuwa chini sana na hali za wafugaji zilikuwa duni mno. Ukiwashauri wapunguze mifugo wala hawakuelewi kabisa, na kila mwaka wakati wa kiangazi ndipo mizozo ilitokea
 
Mpuuzi yule..
Mama aliona mbali....
Alikuwa anataka kuwakomoa watanzania wanaoishi nje, wakati nchi hairuhusu uraia pacha...
Akafie mbali...na Mama mara vuuuu... kashakopa vya kutosha................... Uraia pacha huoooooo.......
Una uhakika na unachoongea??.
 
Ningekuwa mkulima ninaye ishi Karibu na hii Specie ya Kimasai ningemiliki Silaha ya moto kwaajili ya kujilinda.
 
wamasai sijui silaha za moto huwa wanatoa wapi wale jamaa kwenye vita wanaenda na silaha nzito nzito kama vile AK's na smg mwenye ndogo ni gobore
 
Hao wafugaji tena wakimasai akili zao hazitofautiani sana na hiyo mifugo yao.

Wakulima ni kama yatima kwenye maeneo yenye wafugaji wa kimasai.

Wanafanya lolote halafu wanauza mifugo "kurefusha kamba za Polisi"
na kitisho zaidi polisi hawaaminiki kutenda haki penye fedha!! Mkulima anaweza pewa kesi ya kumiliki shamba la bhangi
 
Back
Top Bottom