Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Sirro huyuhuyu anayewatesa bure jela watu wenye familia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mbaya
Kuku wanaita "olmotoniii". Wanawake wanafuga kuku ila hawali kabisa
Suluhu ya kudumu ya hii ishu ni nini?
Unafiki mwingine ni kujitafutia laana, source ya vifo ingekuwa ni askari wake, angekaa kimya kama yale ya Mtwara yalivyo! Mungu atakupa malipo hapahapa Duniani na unafiki wako Siro!!IGP Sirro ameahidi kupeleka kikosi maalumu cha askari kutoka Tanga mjini na Morogoro ili wakaimarishe ulinzi wilayani hapo na askari waliokaa Kilindi kwa muda mrefu ameahidi kuondoka nao.
Niwetaki?Hii bhagosha I wish ningekuwa ....
Bin kingai a.k.a MahitaHivi anatwa ziro bin nani tena?
Masai anaamini kuwa majani huota yenyewe na kwamba ni halali yake.
Lakini ukweli ni kwamba mkulima asipolima, majani hayaoti. Ukienda maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya malisho hayafai kwa sanabu hayalimwi na hivyo basi hakuna malisho.
Hili linafanya Masai amfuate mkulima karibu ili apate malisho na hatimaye vita.
Nimewahi kuwa mkulima Kiteto. Wamasai walikuwa wanaleta mifugo na kupiga kambi kuzunguka shamba. Usiku wa manani wanaingiza mifugo shambani. Kwa hiyo ilikuwa inatubidi kuamka kupambana maana hatukuwa tunaruhusu mifugo shambani kuwe au kusiwe na mazao.
Mifugo wanaharibu sana shamba linakosa rutuba.
Kwa hiyo kichwa ngumu ni wafugaji ambao huwafata wakulima
Angekuwa kaitatua leo hii isingekuwepoSi mlimuondoa bingwa wa kutatua migogoro ya ardhi, Mh. Lukuvi
Acha mvua iendelee kunyesha sasa
Dah, jamaa wachokozi. Hapo ukiwafuata wameweka unakula fimbo na mapanga.Emu angalia mfano hapa kama si kiburi ni nini
View attachment 2103589
Na hapo ndipo penye tatizo kubwa, kwenye miaka ya 2000 mwanzoni hadi 2004 nilifanya kazi kwenye taasisi moja ambayo inaangukia wizara ya kilimo na ufugaji kwa wakati ule.Wafugaji wafuge kisasa.
Sasa una mifuko malisho unategemea kwa mwenzio.?
InawezekanaHalafu Arusha kuna mahali kunaitwa Olmotonyi/Olmotoni...sijui lina uhusiano na hilo jina la kuku
Una uhakika na unachoongea??.Mpuuzi yule..
Mama aliona mbali....
Alikuwa anataka kuwakomoa watanzania wanaoishi nje, wakati nchi hairuhusu uraia pacha...
Akafie mbali...na Mama mara vuuuu... kashakopa vya kutosha................... Uraia pacha huoooooo.......
I share the same thought as u br...Ningekuwa mkulima ninaye ishi Karibu na hii Specie ya Kimasai ningemiliki Silaha ya moto kwaajili ya kujilinda.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666][emoji1666]I share the same thought as u br...
[emoji849][emoji848][emoji1787]Wamasaai wote wapokwe ng'ombe, washurutishwe kufuga kuku [emoji23][emoji23][emoji23]
na kitisho zaidi polisi hawaaminiki kutenda haki penye fedha!! Mkulima anaweza pewa kesi ya kumiliki shamba la bhangiHao wafugaji tena wakimasai akili zao hazitofautiani sana na hiyo mifugo yao.
Wakulima ni kama yatima kwenye maeneo yenye wafugaji wa kimasai.
Wanafanya lolote halafu wanauza mifugo "kurefusha kamba za Polisi"