IGP Sirro tafakari sana maneno ya mtu aliewaua Polisi aliposikika akisema "Nawatafuta Polisi"

Pesa ya dhuluma siku zote ni chungu,mwache mtu akupe na sio kupora.
Siku zote police utaka pesa nyingi Sana kuliko hali halisi,pili hawana Siri wanakula beria hii uwapigia simu beria ya mbele kuna fuso inakuja tumevuta laki 8 hapo changamkeni,hadi ufike dar pesa yote umewaachia
 
Peleka upumbavu wako huko,eti wametuliza taharuki[emoji20],kuna raia alipigwa risasi pale na mtuhumiwa?
 
WATANZANIA WALIO WENGI NI WAPENDA KULAUMU LAKINI HAO HAO WANAOLAUMU WAKIPEWA NAFASI ZA WALE WALIOKUWA WANAWALAUMU WANAFANYA YALE YALE WALIYOKUWA WANAYALUMU. HAO NDIO WATANZANIA
 
Norway, Sweden, Japan, Botswana, Uingereza, nk nk

Angalia pia South Afrika, polisi wana bifu na majambazi tu, lakini kwa raia wa kawaida hawana tatizo na wanahusiana vizuri sana
Huko South Africa wamejaa Askari wapenda rushwa mithili ya hawa wa Tanzania, wala hawana upekee wowote.
 
Achana na stori za mitandaoni, wewe una uthibitisho usio na mashaka kwamba walimkuta na madini ?
 
Ulinzi gani wa mali?
Police ndy adui namba moja wa Mali zako.
Ngoja siku uingie kwenye timings zao ,
Wakushike na mali zako halali au pesa.

Kama hukupewa kesi? Basi utaundiwa zengwe ,,
Ukubali kugawana nao..
Tuzidi kuwaombea . Kazi yao ina majaribu mengi
 
Wewe HAYAJAKUKUTA ...! Nimekusoma muda mrefu sana unatetea polisi. Polisi wa Tz sio watu hata kidogo.
Hao polisi unaosema sio watu, ndani yao kuna baba zako wadogo/wakubwa, kuna kaka/dada zako ,kuna wajomba/shangazi zako. Na ukionana nao unaweka tabasamu loooote ila hapa jf unajifanya kuwa diss
 
Huyo ni gaidi mnajaribu kutwist kutetea ugaidi ila hii ni Tanzania
 
Amini kwamba polisi wema wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…