Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi nilichoshangaa jamaa alikua mmoja ila hilo mbilinge lake jeshi la polisi watu kama wote.Hivi wangekua km watano ingekuwaje?si lingetoka jeshi lote la Dar?
Mimi nasema wauwawe tu hakuna watu wabaya kama askari tena ameuwa wachache sana wangefika hata 15.
Na hayo ni mawazo hisia za Watanzania wengi sana, lakini kwa kusikitisha sana Polisi hawajali! Nimeona comments humu JF Polisi anaporipotiwa kuuwawa, inasikitisha sana.
Umesikia Polisi walimnyanganya dhahabu waliyomkuta nayo katika harakati za kuuza, na jamaa ni mchimba dhahabu huko Chunya? Sasa hao ni walinzi wa mali zetu kweli? Unakumbuka wale jamaa waliuwawa Sizna na wakiwa na madini na kusingiziwa walikuwa majambazi? Polisi walimuua hata taxi driver ambae wala hakujua kinachoemdelea wao kupoteza ushahidiPolisi ni walinzi wa Raia na Mali zao. Mengine ni changamoto ndogo ndogo kwenye maeneo yao ya utendaji.
Hao ni wachache sana,angeua 2,000/=
Kuna siku inaweza kutokea. Ngoja Polisi wetu waendelee kuzalisha "magaidi", itawatokea puani.
tusipende sana kila jambo tunashutumu Polisi, hebu tujaribu kuwa na shukrani hata kwa kile kidogo wanachofanya...hivi hamuoni wanavyotulinda mitaani huku na kutatua changamoto za kila siku mtaani huku, hivi hatuoni hawa traffic police wanavyotusaidia huku mabarabarani pamoja na ujira mdogo wanaolipwa?... hakuna kazi isiyo na changamoto duniani hapa na hakuna police walio perfect dunia pote hapa tuache lawama....
Hivi hatujaona ile effort ya wale askari waliojitolea kuzikwepa risasi na kuleta amani pahala pale?.....kwa hiyo wangemuacha tu yule jamaa na bunduki zake anapiga marisasi na kuleta taharuki huku kazi zimesimama nk..
Hivi hatujaona ile effort ya wale askari waliojitolea kuzikwepa risasi na kuleta amani pahala pale?.....kwa hiyo wangemuacha tu yule jamaa na bunduki zake anapiga marisasi na kuleta taharuki huku kazi zimesimama nk..
Kati ya waliopigwa chuma kuna bwana ako nini?wakifika askari 5 wewe linda huna.hata muda wa kuandika jf ungekosa.
bad news ni kwamba polisi wataendelea kukufilimba tu hata wakifa wangapi.
Polisi wajiulize....huyu raia pengine hata JKT kwa mujibu hajapitia ila anamimina njugu kiasi kile. Wawe na adabu!mi nilichoshangaa jamaa alikua mmoja ila hilo mbilinge lake jeshi la polisi watu kama wote.Hivi wangekua km watano ingekuwaje?si lingetoka jeshi lote la Dar?
Am sure hujawahi kuzinguliwa na polisi wewePolisi ni walinzi wa Raia na Mali zao. Mengine ni changamoto ndogo ndogo kwenye maeneo yao ya uutenda
Ulinzi gani wa mali?Polisi ni walinzi wa Raia na Mali zao. Mengine ni changamoto ndogo ndogo kwenye maeneo yao ya utendaji.
Hakuna kitu kama hicho. Kinyume ya ulichoongea ndio uhalisia tunaoishi nao.Polisi ni walinzi wa Raia na Mali zao. Mengine ni changamoto ndogo ndogo kwenye maeneo yao ya utendaji.
Wewe HAYAJAKUKUTA ...! Nimekusoma muda mrefu sana unatetea polisi. Polisi wa Tz sio watu hata kidogo.kwahiyo Tanzania polisi wanabifu na raia huku mitaani.....mbona mara nyingi tu napishana nao usiku wakiwa kwenye doria zao barabarani sioni wakifyatulia raia risasi, mbona huko kwenye mabaa usiku watu wanakula ulabu sioni wakifyatua risasi....mbona hapo posta na kariakoo mchana sioni wakikamata watu hovyo?...
Bro naomba nikwambie, dunia kote polisi hawapendwi maana raia duniani kote tunapenda kuvunja sheria tuachwe tu.... duniani kote pia kuna polisi wabaya na wazuri pia..