Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Moja kwa moja anaingia mbinguni huyu
mabikira 70 wanamsubili raha iliyoje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja kwa moja anaingia mbinguni huyu
Aise.Nimefurahi sana leo
Polisi wa Tanzania sio tu hawana ujuzi wa kukabiliana na matukio kama haya, hawana ujuzi wa kutoa matamko. Wanabwabwaja tu ooh tuna ushahidi wa ugaidi! Wameomba ugaidi ukaja.Alitoa tamko kuwa jeshi limetuliza ghasia hiyo na wamekufa watu wawili tu ila baada ya muda limekuja tamko lingine wamekufa watu wanne .
Shagala-bagala.
Nimezitafuta sana!🤣🤣🤣.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu umejuaje
Norway, Sweden, Japan, Botswana, Uingereza, nk nk
Angalia pia South Afrika, polisi wana bifu na majambazi tu, lakini kwa raia wa kawaida hawana tatizo na wanahusiana vizuri sana
Hivi Watanzania wangapi wanawaona polisi wa Tanzania katika taswira hii, walinzi wa raia na mali zao?
Yaani mimi nina ndinga yangu Toyota Kruger napiga trip ya mkoa nakutana na polisi trafic na polisi wa wa kawaida huko njiani wananipiga mkono nisimame, unataka nijiambie moyoni nimekutana na walinzi wa Kruger yangu katika safari? Wewe naona una IST unatumia Dar tu!Watanzania wengi
Nimezitafuta sana![emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Huyu jamaa kaniacha hoi. Kwanza kaenda kwenye banda la polisi na bastola, labda na risasi mbili au tatu tu. Kupitia polisi akapata SMG mbili, na risasi sitini! Utafikiri mchezo wa upatu!
Halafu watu wanadhani eti ni mental case. That was a damn good plan for a mental case!
Ahahahahahhaaaaaaa,Hamza leo kawaweza shenzy hawaMtoto akililia wembe mpe ajikate, mliutaka ugaidi umekuja yanini kulialia kama vibinti vya shule?
Huku kwetu saa 6 usiku ukutane na polisi daaah bora ukutane na simba jike unaweza pona si polisikwahiyo Tanzania polisi wanabifu na raia huku mitaani.....mbona mara nyingi tu napishana nao usiku wakiwa kwenye doria zao barabarani sioni wakifyatulia raia risasi, mbona huko kwenye mabaa usiku watu wanakula ulabu sioni wakifyatua risasi....mbona hapo posta na kariakoo mchana sioni wakikamata watu hovyo?...
Bro naomba nikwambie, dunia kote polisi hawapendwi maana raia duniani kote tunapenda kuvunja sheria tuachwe tu.... duniani kote pia kuna polisi wabaya na wazuri pia..
Nimezitafuta sana![emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Huyu jamaa kaniacha hoi. Kwanza kaenda kwenye banda la polisi na bastola, labda na risasi mbili au tatu tu. Kupitia polisi akapata SMG mbili, na risasi sitini! Utafikiri mchezo wa upatu!
Halafu watu wanadhani eti ni mental case. That was a damn good plan for a mental case!
Mkuu, Polisi wa Tanzania hawana uhusiano mzuri na raia, sio kwamba wana akili ya ukichaa dhidi ya raia itakayowafanya wawafyatulie risasi ovyo. Mbona unapenda kwenda kwenye extreme scenario kiasi hiki na ku-exaggerate mambo?kwahiyo Tanzania polisi wanabifu na raia huku mitaani.....mbona mara nyingi tu napishana nao usiku wakiwa kwenye doria zao barabarani sioni wakifyatulia raia risasi, mbona huko kwenye mabaa usiku watu wanakula ulabu sioni wakifyatua risasi....mbona hapo posta na kariakoo mchana sioni wakikamata watu hovyo?...
Bro naomba nikwambie, dunia kote polisi hawapendwi maana raia duniani kote tunapenda kuvunja sheria tuachwe tu.... duniani kote pia kuna polisi wabaya na wazuri pia..
Tunajua kuna Polisi ambao ni wazuri tu, lakini ni wachache sana, na hil halitafanya tuache kusema ukweli kwamba uhusiano wa jeshi la Polisi la Tanzania na raia ni mbovu na wala hawajali hilo. Sasa hao Polisi wachache wazuru hawawezi kuficha ukweli wa jumla juu ya Polisi wa Tanzania.
Alaa kumbe! Ngoja niwahi Polisi nikawaambie huyu jamaa alikuwa mchimba dhahabu Chunya nipate Milioni mbili!Copy and Paste
[8/25, 7:31 PM] First Born: Alikua anaenda kumuhuzia mtu dhahabu maeneo ya masaki police wakamkamata so wakat wanaenda kituo salander
[8/25, 7:31 PM] First Born: Inasikitisha sana... Kumbe polisi ndio walisababisha hii shida yote... Uchunguzi wa kina na wauwazi utaitajika...
Tunajua kuna Polisi ambao ni wazuri tu, lakini ni wachache sana, na hil halitafanya tuache kusema ukweli kwamba uhusiano wa jeshi la Polisi la Tanzania na raia ni mbovu na wala hawajali hilo. Sasa hao Polisi wachache wazuru hawawezi kuficha ukweli wa jumla juu ya Polisi wa Tanzania.
Najua na wewe ni Polisi, bado siku yako. Mmezidi sana nyie dawa yenu moja tu, vitu vyenye ncha kali, a taste of your own medicine!We mpumbavu sana. Jitafakari Badilika.
Jamani nyie inatisha, mimi nahisi ningezimia kabisa😒Siwezi kuwazia huyu jamaa aliekaa hapa kitu gani kilikuwa kinaendelea kichwani! Anajaribu kujifanya mdogo kama piriton lakini inashindikana! 🤣 🤣 🤣
View attachment 1908255
Hivi Watanzania wangapi wanawaona polisi wa Tanzania katika taswira hii, walinzi wa raia na mali zao?