Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Umaskini na ujinga ndio mtaji...Kikawaida walipaswa kutumiwa shilingi ngapi?
Laki tano, milioni moja , kumi au vipi?
Enzi za uhuru mpaka miaka ya sabini matajiri waliitwa "...mumiani, wanyonya damu!! Wakaitwa makabaila... mabepari... mabwanyenye... miaka ya themanini wakaitwa wahujumu uchumi" malofa wakashangilia sana mwisho wa siku wako waliokimbiza magari mitaani ili kupata robo kilo ya dona la yanga na bunda la vibiriti... sikumbushii waliotembea utupu wala sukari, sabuni za kuogea, dawa za mswaki na na perfume zilikuwa bidhaa za anasa!!Bilion 6 hela nyingi?
Kuzaliwa masikini shida sana.
Kufungia kisha uchunguzi..utaachia ukose ushahidi nia ikiwa ovu?Kulikuwa kuna haja gani ya kufunga account zao?Yaani unasimamisha shughuli za taasis kwa hisia tu kwamba unataka kujiridhisha na uhalali wa fedha wanazopata na malengo ya fedha hizo!Kipi kilipaswa kutangulia?Uchunguzi au kufunga account zao na kitutangazia?shame
mwaka huu tujiandae kwa vikwazoIGP Sirro amesema jeshi la polisi linakichunguza Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu kinachoongozwa na Ole Nguruma baada ya kituo hicho kupokea kiasi kikubwa cha fedha kutoka nje.
Sirro amesema kwa mwaka huu pekee kuanzia mwezi January kituo hicho kimepokea takriban Tsh. bilioni 6 kutoka nje hivyo Jeshi linataka kujiridhisha uhalali wa fedha hizo zisijekutumika kwa nia ovu ikiwemo ugaidi na utakatishaji.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Maendeleo hayana vyama!
hazikutoshi weweNchi imefikia kiwango cha raia kukataa kufikiri au kutumia mawazo yao kwa nia ya kujenga
Tuchukue mfano mzuri mwepesi mwanao au mshirika wa familia yako anapokea msaada kutoa nje ya familia Mil 100,. Je ni mbaya kutaka kujua kama mlezi fedha zoote hizi anataka kufanyia nini? Na ikibidi alete mrejesho wa matumizi?
Tuache utoto je nani anaelewa hawa magaidi au vikundi vya vurugu hivi tena vinatumia mwamvuli wa jina la Mungu kuchafua taswira za dini zilizo bora wanapata wapi pesa ya kununua silaha?
Na nani anawauzia kwa njia gani?
Kuna ubaya gani watu wa HAKI ZA BINADAMU wakachunguzwa ,tena kwa wema wao wakashirikiana na serkali ili maswala ya Haki za raia zielimishwe wakiweka mikakati yao ya jinsi mapato watatumia ?
Tatizo ni pale wanaochunguza kama nia yao ni ovu li kuafifisha mambo mema, jambo ambalo si kweli.
Wachunguzwe tu maana sasa hivi nao wamekuwa harakati za kisiasa isije kuwa wanafadhili siasa badala ya agenda zao may be Joe movement
Kikawaida walipaswa kutumiwa shilingi ngapi?
Laki tano, milioni moja , kumi au vipi?
Ukikuta hakuna hiyo nia ovu,utawalipa fidia?Watu waliopoteza ajira je?Kipi kilipaswa kutangulia kati ya uchunguzi au kufungia account kisa tu umeona hela zimeingia?Miaka yote pesa huwa zinatolewa na wadau wa haki za binadamu,kwanini sasa ndio wafanyiwe haya?Walishawahi kuwa na record ya uhalifu?Ukiweka mihemko kando na kuruhusu akili yako ifanye kazi utaona ukweli!Kufungia kisha uchunguzi..utaachia ukose ushahidi nia ikiwa ovu?
Ukimaliza huo uchunguzi utakuta hizo fedha zote hazipo. Dawa kuzifungia kwanza ukimaliza uchunguzi kama ni halali unaziachia. Kama zina walakini unazihold mpaka waseme Meeee kama mbuziKulikuwa kuna haja gani ya kufunga account zao?Yaani unasimamisha shughuli za taasis kwa hisia tu kwamba unataka kujiridhisha na uhalali wa fedha wanazopata na malengo ya fedha hizo!Kipi kilipaswa kutangulia?Uchunguzi au kufunga account zao na kitutangazia?shame
Ukukutanua mbona huwa zinatosha[emoji23][emoji23][emoji23]hazikutoshi wewe
Utawalipa fidia ukikuta ni halali?Ukimaliza huo uchunguzi utakuta hizo fedha zote hazipo. Dawa kuzifungia kwanza ukimaliza uchunguzi kama ni halali unaziachia. Kama zina walakini unazihold mpaka waseme Meeee kama mbuzi
Kwa nini unataka IGP atoe maelezo kwa namna unayotaka wewe wakati kosa lililotendwa na taasisi ni la kisheria? Sheria ya udhibiti wa fedha za wafadhiri kwa NGO's/vyama vya siasa, imetungwa na bunge na kazi ya polisi ni kusimamia utekelezaji wa sheria.Diplomatic language ni shida Tanzania.
Kulikuwa na namna nyingi za kutolea maelezo kwanini serikali imeamua kuchunguza.
Mfano IGP angeweza sema historical income and expenditure ya taasisi inaonyesha funding ya mwaka huu ni kubwa sana kushinda previous years kwa ivyo serikali inataka kujua kwanini wakati hakuna ushahidi wa kuongezeka kwa huduma zao unaoenda sambasamba na ukubwa wa funding iliyoingia ndani ya mwaka.
Kwa sababu iyo serikali inachunguza kama kuna fraud activities ambapo taasisi ime overstate it’s budget ili kujipatia hela zaidi kwa makusudi ya watu wachache wajinufaishe, au kuna money laundering, au kuchunguza source ya hizo hela kama zinatoka kwa regular funders wa kila siku.
Yote hayo ni kwenye kazi ya jeshi la polisi (serious fraud unit) kuhakikisha matumizi ya hizo hela zinaenda kutumika kulingana na budget iliyopangwa na taasisi, katiba yao na sio mambo mengine kinyume na shughuli za usajili wao au sheria za Tanzania
Sababu alizotoa Sirro sio za ki IGP ni za level ya mtu kama Musiba petty and the explanation given is not in per with top civil servants language anatakiwa ajue kutumia diplomatic language.
Sasa si watakuwa na acces ya ku withdraw huo mpunga acha kwanza uwe frozen mpaka ijulikane imetoka wapi, Tuliwahi kutoa ushauri kuwa hizi NGO ni zakuziangalia kwa jicho la tatu mana nyingi zipo kama mwamvuli tuKwani ingefanywa uchunguzi huku haijafunga account zao inakuwaje?