Huo ndio ukweli wa tulichotokea utake usitake shauri yako, tena mie ndio hawatonipata kabisa maana sina mwili mkubwa kama Hamza sasa yule mwili wote ule ila bado mlikuwa mnapiga pembeni sasa mie si ndio hamtonibahatisha kabisa.Nenda ukasimame na wewe wapige pembeni
Biden akinyifaragua atapigwa tena kitu cha moto
ukiwa well trained unakua immune to bullets ama vipi?Well trained askali and equiped asingeweza pigwa risasi, askali wetu wako na mazoea mabaya. Wengi ffu ni form four pass mark, unamupeleka Police hata reasoning ya mazingira ya kazi kama alishindwa shule uko, sawa atamaliza kozi atapangiwa kituo Cha kazi yanarudi yale yale ya form four division four.
Ni mapema kutoa hiyo kauli uwezi kumwita hamza gaidi yulr si gaidi magaidi wao ulenga majority ya watu na kuwauwa hamza hakufanya ivo, kaka hamza yeye alkuwa na kisasi na polisi... Polisi watuambie ukweli wamemfanya nini Kaka Hamza???Aseme dhahabu ya Hamza iko wapi?
Si kauli nzuriKauli hii, endapo itadababisha polisi kuingiza gia ya mauaji "Killing Spree", ICC inamhusu huyu kamanda.
Sina hakika alichomaanisha huyu kamanda wetu, lakini inaweza kuwa ni kuwatia hamasa askari waue raia bila kufuata taratibu za kisheria zinazotambulika.
Tuombe heri, labda Sirro, siku zijazo atalazimika kukemea mauaji yatlnayotarajiwa kuendeshwa kwa maagizo yake. Tuombe Uzima.
hizi kesi kama za akina Zombe sirro ni mtumiwa namba moja.Hakuna Ripoti hapo tena Jaji Sirro keshatoa hukumu
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
hizi kesi kama za akina Zombe sirro ni mtumiwa namba moja.
Kauli hiyo kwa sisi wataalamu wa kiintelijensia maana yake ni kuwa hao Maaskari wakufa kizembe.
kwenye wall paper ya simu yangu kuna picha ya Hamza,status yangu zimejaa picha za Hamza huko,kuanzia juzi 25 aug a.k.a yangu najiita Hamza wa salenda.Umejuaje kama ni gaidi? Rais aliagiza uchunguzi wa kina, ripoti umeipata?
Binafsi naona ilipaswa bunge liunde tume ya kuchunguza kiini hasa cha kisa cha Hamza. Ripoti hizo zitatusaidia siku za usoni.
Tuache tabia ya kuishi kama viumbe wasioona mbele na wasioweza kujifunza kutokana na yanayowatokea kila siku.
Ni wale wale, siyo kwamba unakuwa immune to bullet, mazingira ya ulipo unaweza kwepa bullet, hata kama utaviziwa.ukiwa well trained unakua immune to bullets ama vipi?