IGP Sirro: Wale wachache wanaotaka nchi isitawalike kwasababu ya kukosa madaraka hatutawapa nafasi

IGP Sirro: Wale wachache wanaotaka nchi isitawalike kwasababu ya kukosa madaraka hatutawapa nafasi

Sirro amezeeka ndio maana siku hizi akili yake haichanganui mambo kwa uzito wake, anakaribia kustaafu.
 
Zamani umri wa kustaafu ulikuwa miaka 50 kwa hiyari, 55 ni LAZIMA.

Watu wengi walipenda kustaafu kwa hiyari wakiwa bado " TIMAMU"
 
..Dah!!

..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.


Hili ndilo tatizo la kuishi kwa mazoea. Alizoea kukandamiza na kunyanyasa viongozi wa upinzani ili kumfurahisha bosi wake wa zamani. Kwa kuwa bosi wasasa hapendi mambo hayo, anajikuta akibwabwaja tu.

Nafikiri yale mapokezi aliyoyapata Mbowe alipokwenda kwao Hai baada ya kutoka mahabusu yanamfanya awashwewashwe na masikio. Anakereka kwa kuwa intelejensia ya vijana wake ilishindwa kubaini viashiria vya uvunjifu wa amani katika mapokezi hayo.
 
..Dah!!

..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.




Huyu si ndiyo yule mwamba wa bhooooooo bhooooooo bhooooooo ... bhooooooo?

Hajui tumekubaliana siasa za haki, ustaarabu na kuwadhibiti vizaba zabina wote bila kujali vyeo vyao?
 
Back
Top Bottom