Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
..Dah!!
..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
ameoza kwenye ufikiri na tahadhari ya akili huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..Dah!!
..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
Anatumikia maslahi ya waimba mapambio wa enzi hizo,ie sgaaang😂Kachoka hadi mkia.
Mfano mzuri ni kesi ya Mbowe, watu walifika mahakamani kila kesi ilipotajwa hakuna hata siku moja kulitokea vurugu. Polisi hawakuvuruga! kwa maneno mengine..wanasiasa wa upinzani wa Tz hawana hulka za kutumia mabavu kiasi kulazimisha jeshi la polisi na vyombo vingine kuingilia kati.
..IGP Sirro amejitengenezea HOFU ya uongo dhidi ya vyama vya upinzani halafu anatuma askari nchi nzima kuumiza viongozi na wafuasi wa vyama vya upinzani.