Mzee kachoka apumzishwe tu sasa..Dah!!
..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
Awaze nani mwingine zaidi ya Mwanadamu huru?..Dah!!
..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
Nani hajui wanaolengwa? Zero aondoshwe tu akatulie kwenye miradi yake...Dah!!
..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
Huenda anampasha mama na DPP kuwa hatambui maamuzi yao...Dah!!
..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
50??? mbona kijana ? siku hizi ni ngapiZamani umri wa kustaafu ulikuwa miaka 50 kwa hiyari, 55 ni LAZIMA.
Watu wengi walipenda kustaafu kwa hiyari wakiwa bado " TIMAMU"
Kachoka hadi mkia.Mzee kachoka apumzishwe tu sasa
Hili ndilo tatizo la kuishi kwa mazoea. Alizoea kukandamiza na kunyanyasa viongozi wa upinzani ili kumfurahisha bosi wake wa zamani. Kwa kuwa bosi wasasa hapendi mambo hayo, anajikuta akibwabwaja tu...Dah!!
..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
Kuzuia nchi isitawalike ndio kufanya nini ?..Dah!!
..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
..Dah!!